Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania ni majaribio, Kwa kuwa hazijafanyiwa Utafiti wa kutosha,hivyo Si sahihi miili ya Watanzania kugeuzwa sehemu ya majaribio hayo,
Gazeti la THE TELEGRAPH nchini Uingereza limeripoti kuwa kiwanda cha kuzalisha chanjo aina ya ASTRA ZENECA kimeziondoa chanjo hizo kwenye soko la Dunia. Yaani dawa au chanjo iliyo dukani inaondolewa, haifai tena kwa matumizi ya binadamu. Sababu za kuondolewa chanjo hizo, wamedai kuwa zimepitwa na wakati.
Wakati kampuni hiyo ikiendelea na hatua hizo, kumekuwapo na case zilizofunguliwa na wananchi na ndugu wa wananchi wa Uingereza na nchi mbalimbali duniani kuituhumu kampuni hiyo Kwa kusababisha vifo Kwa ndugu zao na kuganda kwa damu kwa waliochanja chanjo hizo.
Askofu Gwajima, amesaidia Watanzania wengi kukataa chanzo hizo, maana kamwe Mtanzania wa kawaida, asingeweza kushtaki kampuni hizo za Chanjo.
Asante Mungu kutuletea JPM,
Mungu ambariki Askofu Gwajima,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo Tanzania. 🇹🇿
Karibuni🙏
Source: The Telegraph Newspaper UK.