peter_intelligent
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 603
- 518
sawaHii mada nzuri, naomba wapumbavu kaeni pembeni sisi wenye akili tulijadili
sawaHii mada nzuri, naomba wapumbavu kaeni pembeni sisi wenye akili tulijadili
Nimekuelewa sana sana, hakuna faida ya kuzaliana hasa kama una uwezo mdogo ni kuleta viumbe vitakavyoteseka tu duniani,..wenzetu huko mbele wanalielewa hili ndio maana ni normal tu kuishi hadi kufa bila kuzaa kama unaona hauko financially, physically or mentally stable to raise a child.Mwili wa binadamu na viumbe wengine wote unahangaika sana na mambo mawili. Kusurvive na kuzaliana. Sasa najiuliza kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa. Kuendeleza kizazi cha ng'ombe, kunamsaidia nini ng'ombe anayezaa. Binadamu walioishi miaka ya BC huko, wanafaidika vipi na kuendeleza uzao wa binadamu? Kungekuwa hamna kufa ningeweza kidogo kuelewa.
Zaidi naona uzazi unamnyonya mzazi kiafya, kichumi nk. Kuzaliana kunamsaidia nini anayezaa?
Hii ni huku kwetu tu,watu wanakua na watoto ili wasisimangwe kwamba hawana vizaziKuna mambo ni magumu kuelewa. Na kwanini mtu anapenda kuwa na mtoto?
Wewe binafsi unapata faida gani kuwepo kwenye huu uhai?Bila kuzaliana kungekua hakuna uhai wa kiumbe chochote duniani maana tungekufa wote...faida ya kuzaliana ndo uhai wa dunia.
Barikiwa sana ndugu yangu umeongea pointi ya maana sana.Unataka kuwa mpweke mwenye mawazo na depression maisha yako yote na kukosa hata mtu wa kukupeleka hospitali siku ukiumwa, kukusaidia ukipata shida yoyote na kukufariji alafu mwisho wake ujifie ndani peke yako na uje kuzikwa na serikali siku ukifa na usahulike ndani ya saa 24? basi usizae mkuu.
Na nina uhakika umefikiria na kuandika haya sababu huna mtoto wala mke na upweke ndio umekufikisha hapa.
Ila mtu mwenye familia hawezi kukaa kufikiria haya bali muda wote atakuwa anacheka na watoto na wajukuu zake na kusahau kabisa kwanini yupo duniani au awe anapamba na umasikini na maisha ili watoto wale.
Imagine hapo bado una nguvu je ukiwa na miaka 70?
Kingine ni kwamba huwezi kumkuta tajiri anafikiria dhumuni la maisha bali utakuta yupo busy masaa 24 anafikiria jinsi ya kuendesha company na kudominate soko. vacations plans na mke na watoto wake, jumamosi kuna movie inatoka waende mlimani city pamoja na amesahau kununua tickets. yaani yuko busy na muda hautoshi.
lla masikini tu ndio utakuta ana mawazo kama haya sababu ya shida na kukosa cha kufanya wala kitu cha msingi cha kufanya. hivyo pambana na umasikni sasa hivi kizazi chako kisiwe kama wewe.
Watu ndio chanzo cha furaha ya kweli na hakuna watu wengine watakaokupa furaha na kukufariji zaidi ya familia yako.
Basi usizae mkuu lakini ukizeeka ndio utaona umuhimu wa kuzaa na kuwa na familia na hapo ndio utajua faida yake.
Umejibu kizembe sana, unahisi humu tuko wanafunzi wa form two C?Nature. Ni ecosystem, ukienda darasani ukajifunza utaelewa. Kila kilichomo hapa duniani, mchwa, konokono, Simba, jongoo, tembo, panzi, chura, binadamu, miti, maua, majani vimo kwenye mfumo huo.
Sio mbaya kuishi kama Hikikomori WA kijapaniUnataka kuwa mpweke mwenye mawazo na depression maisha yako yote na kukosa hata mtu wa kukupeleka hospitali siku ukiumwa, kukusaidia ukipata shida yoyote na kukufariji alafu mwisho wake ujifie ndani peke yako na uje kuzikwa na serikali siku ukifa na usahulike ndani ya saa 24? basi usizae mkuu.
Na nina uhakika umefikiria na kuandika haya sababu huna mtoto wala mke na upweke ndio umekufikisha hapa.
Ila mtu mwenye familia hawezi kukaa kufikiria haya bali muda wote atakuwa anacheka na watoto na wajukuu zake na kusahau kabisa kwanini yupo duniani au awe anapamba na umasikini na maisha ili watoto wale.
Imagine hapo bado una nguvu je ukiwa na miaka 70?
Kingine ni kwamba huwezi kumkuta tajiri anafikiria dhumuni la maisha bali utakuta yupo busy masaa 24 anafikiria jinsi ya kuendesha company na kudominate soko. vacations plans na mke na watoto wake, jumamosi kuna movie inatoka waende mlimani city pamoja na amesahau kununua tickets. yaani yuko busy na muda hautoshi.
lla masikini tu ndio utakuta ana mawazo kama haya sababu ya shida na kukosa cha kufanya wala kitu cha msingi cha kufanya. hivyo pambana na umasikni sasa hivi kizazi chako kisiwe kama wewe.
Watu ndio chanzo cha furaha ya kweli na hakuna watu wengine watakaokupa furaha na kukufariji zaidi ya familia yako.
Basi usizae mkuu lakini ukizeeka ndio utaona umuhimu wa kuzaa na kuwa na familia na hapo ndio utajua faida yake.
Na ndio hapo binadamu tunafeli Sana kutumia common sense ,wewe unazaa kama panya with no means to take care huyo kiumbe , unajua na kili au matope ? , Then huyo kiumbe abaisgia kuwa chokoraa with miserable existence ,wtfNimekuelewa sana sana, hakuna faida ya kuzaliana hasa kama una uwezo mdogo ni kuleta viumbe vitakavyoteseka tu duniani,..wenzetu huko mbele wanalielewa hili ndio maana ni normal tu kuishi hadi kufa bila kuzaa kama unaona hauko financially, physically or mentally stable to raise a child.
Tatizo bongo hii usipozaa mzee inakua tabuu,kila mtu atakusimanga huna kizazi bila ya kujalisha watakusaidia kulea,je kichwani uko sawa kukuza mtoto au mwili wako unaweza kuhimili mikikimikiki ya ulezi n.k
Watu wengi wangetambua hili,dunia ingekua sehemu nzuri sana na salama kwa watoto wetu.
😀😀😀😀Umejibu kizembe sana, unahisi humu tuko wanafunzi wa form two C?
Ng'ombe wana malengo gani?Kama huna Malengo yoyote kwenye maisha yako bhasi hata Kuwa HAI hakuna maana...!! Na ukiwa hai inawezekana wew huoni maana ya kuwa hai ila Ukatumika kukamilisha Malengo ya wengine..
Haya maswala ni mazito kuliko upeo wa watu.walioendeleza maisha tangu miaka hiyo ya zamani sasa huko walipo wanafaidika nini na kizazi walichoendeleza
Unajichanganya.Uwepo wako wewe ndio faida ya hao wa zamani kuzaliana. Bila wao wewe usingekuwepo
ng'ombe huwezi mfananisah na binadamu... binadamu anamfunga ngombe ili kesho ampe maziwa..amuuze apate helaa hayo ni MALENGO YA BINADAMU sio ya ngombe. Binadamu alipewa utashi ili asiishi kama mbwa au ngombe sasa wew ndo una matatizo maana huoni tofauti yako na ngombeNg'ombe wana malengo gani?
Hujaielewa hii mada.ng'ombe huwezi mfananisah na binadamu... binadamu anamfunga ngombe ili kesho ampe maziwa..amuuze apate helaa hayo ni MALENGO YA BINADAMU sio ya ngombe. Binadamu alipewa utashi ili asiishi kama mbwa au ngombe sasa wew ndo una matatizo maana huoni tofauti yako na ngombe