Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 4,121
- 7,390
Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile vile Derby ya Celtic na Rangers ilitokea kwa sababu za kidini, pia kuna sababu kama kigeografia n.k Je unajua Derby ya Simba na Yanga ilidababishwa na nini? Na imekuzwa na kitu gani?
Nitataja sababu kadhaa , legend mtaongezea
1. Eneo , zote zinatoka eneo moja hivyo kupelekea kuibuka kwa upinzani mkali
2. Siasa Ya rangi CCM VS Chadema (sio sababu ya moja kwa moja)
3. Wachezaji, Juma kaseja , Emanuel Okwi, Mbuyu Twite, mtaongeza wachezaji wengine, sababu hii nikuwa kunyang'anyana wachezaji au mchezaji mzuri kutoka.huku kwenda kule kunachochea uhasama
4. Matajiri GSM Vs MO , na hapa panaongeza upinzani mkali.
5. Matokeo
NB derby inaweza kufa kama hakuna vichochezi vya upinzani au inaweza kupoa kabisa. Hasa kama timu moja itakuwa mnyonge kwa muda mrefu