tofyo JF-Expert Member Jul 18, 2013 2,754 764 Jul 3, 2016 #1 Kwa wale wapenzi wa nyama,supu,mishikaki na nyamachoma kwa ndizi....Mbuzi akimixiwa na hii huwezi kujua. Attachments 7f897f70a7f9f668595d234272cda580.jpg 38.6 KB · Views: 65
Kwa wale wapenzi wa nyama,supu,mishikaki na nyamachoma kwa ndizi....Mbuzi akimixiwa na hii huwezi kujua.
John Cannor JF-Expert Member Jun 6, 2016 1,464 1,824 Jul 3, 2016 #2 tofyo said: Kwa wale wapenzi wa nyama,supu,mishikaki na nyamachoma kwa ndizi....Mbuzi akimixiwa na hii huwezi kujua. Click to expand... Mbona hujaweka hiyo picha? Naona maneno 'Hewa' bila attachment yoyote.
tofyo said: Kwa wale wapenzi wa nyama,supu,mishikaki na nyamachoma kwa ndizi....Mbuzi akimixiwa na hii huwezi kujua. Click to expand... Mbona hujaweka hiyo picha? Naona maneno 'Hewa' bila attachment yoyote.
vollies JF-Expert Member May 31, 2015 748 446 Jul 5, 2016 #3 Anaamaanisha kuwa makini usijelishwa mdudu nyau au wale adimu wanaofuza wezi usiku kwa kubweka.
tofyo JF-Expert Member Jul 18, 2013 2,754 764 Jul 6, 2016 Thread starter #4 Samahani wakuu nilisahau ku- attach.