Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,166
- 15,862
Tulizoea kwa wapinzani tu!sasa tunapoona mwana ccm anaswekwa rupango kama mpinzani inabidi tushangae kidogo! Anyway njooni kwangu nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha!jifungeni nira yangu mjifunze kwangu---------CDMFanyeni research kwanza. Sikuizi kuitwa na kuwekea ndami bil dhamana ni kitu cha kawaida serkal hii