Kuwekwa Mbaroni kwa Steven Nyerere baada ya mahojiano na polisi.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665

Inasemekana Steven Nyerere alikamatwa na polisi jana na baada ya mahojiano na polisi akawekwa ndani mpaka Sasa.

Wenye updates zaidi watujulishe.
 
Inasemekana Steven Nyerere alikamatwa na polisi jana na baada ya mahojiano na polisi akawekwa ndani mpaka Sasa.

Wenye updates zaidi watujulishe.
Huyu si ndiyo anaongea na wakubwa huyu au si yeye! Inaonesha kuna mambo mengi sana anayajua huyu maana nimeyasikiliza kwa makin sana maelezo yake kwenye maongezzi na mama wema kama kweli ni yeye lakin.
 
Inasemekana Steven Nyerere alikamatwa na polisi jana na baada ya mahojiano na polisi akawekwa ndani mpaka Sasa.

Wenye updates zaidi watujulishe.
mkuu, yale maneno ya Steve kwenye audio ni radi. establishment si tu kuwa imetikisika, ime-freeze kabisa!
 
Ongoza nyama mkuu....au unatuachia tukafanye research wenyewe
 
Kawekwa kwa kosa gani?itafika mahali hata mtu akijamba atakamatwa na kuhojiwa kwa kuambiwa kuwa amechafua hali ya hewa.
 
Reactions: Luv
Ndio tatizo la kuvuka mto, bila ya kukunja suruali!
 
Na aendelee kukaa ndani tu, maana alijifanya anaijua CCM kuliko wenye CCM wenyewe. Alikuwa akifurahi na akiwananga wapinzani kila wakipigwa na kukamatwa na polisi ovyo ovyo.
 
Mwigulu, Nape Samia wapigwe chini kama hiyo audio ni ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…