Hapa nazungumzia ukiwa uanatoka Dodoma kwenda tabora mpaka mwanza, unachukua njia ifuatayo Dodoma unakwenda mpaka manyoni then itigi unakwenda mpaka tabora. Baada ya tabora unakwenda nzega unaendelea mpaka mwanza. Vile vile unaweza kufika manyoni ukaenda Singida ukaenda Sekenke, Igunga, mpaka Nzega. Nilisema ukipita ITIGI mpaka Tabora kwenda nzega unapunguza KM 100, ukilinganisha na kupita njia ya ingida. Wamesema Barabara inayotengenezwa ni km 85 ambayo tayari itawezesha barabara hii kupitika kuliko singida.