Kuwait yatoa msaada wa Tsh 110 bilioni kwa ajili ya kujenga barabara mkoani Tabora

Hata mkopo ni msaada, sio kila mtu anaweza kukukopesha.

Mkuu kwa muktadha ambao tunazungumzia hapa mkopo ni tofauti na msaada.

Ukikopeshwa unatakiwa ulipe kufuatana na masharti mtakayokubaliana. Ukipewa msaada hutatakiwa kulipa.
 
Unazungumziaje Tabora-Nzega au Mwanza-Dodoma, wakati topic ni Tabora-Itigi via Nyahua?

Hapa nazungumzia ukiwa uanatoka Dodoma kwenda tabora mpaka mwanza, unachukua njia ifuatayo Dodoma unakwenda mpaka manyoni then itigi unakwenda mpaka tabora. Baada ya tabora unakwenda nzega unaendelea mpaka mwanza. Vile vile unaweza kufika manyoni ukaenda Singida ukaenda Sekenke, Igunga, mpaka Nzega. Nilisema ukipita ITIGI mpaka Tabora kwenda nzega unapunguza KM 100, ukilinganisha na kupita njia ya ingida. Wamesema Barabara inayotengenezwa ni km 85 ambayo tayari itawezesha barabara hii kupitika kuliko singida.
 
Back
Top Bottom