Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,091
CONTROLA mkuu hujashusha nondo zako muda mrefu sana bossWe unaongelea namba,watu wanatunza hadi picha....
Kuna Dada anakujaga ofisini namuhudumuia, kuna siku akaniambia
yani we kaka umefanana na X wangu mpaka basi'', nikamwabia Hebu
nionyeshe huyo X wako nimuone, nikamuona anapekua gallery mara
paap nikaonyeshwa mtu niliefanana nae, Story zikaendelea kama kawaida
mimi nikamuuliza,X wako tangu uachane nae una muda gani hamjawasiliana
ana sema ni miaka,maana ashaingia ktk mahusiano na mtu mwingine,sasa nikawa
nawaza huyu dada mtu wameachana wana miaka anatunza picha yake kwenye simu yanini?