kuna mwingine lengo lilikuwa kukupitia akiona parking sio anageuza gari ko ni kukubali tuKuacha/kuachwa hichi kikombe kichungu sana ikiwa umemuweka moyoni.
Hivyo sio rahisi ukubali matokeo kirahisi rahisi
kuna mwingine lengo lilikuwa kukupitia akiona parking sio anageuza gari ko ni kukubali tuKuacha/kuachwa hichi kikombe kichungu sana ikiwa umemuweka moyoni.
Hivyo sio rahisi ukubali matokeo kirahisi rahisi
Huhkuna mwingine lengo lilikuwa kukupitia akiona parking sio anageuza gari ko ni kukubali tu
Ok..Nilijua umechezea makofi labdaukisikia simu inaingia unampenzi mpya! unakata.unampa picha gani? unapigiwa simu hata mara kumi kwa siku!.vigumu kumshawishi mtu kuwa umeachana na huyo mwanamke! maisha ilikuwa ni stress vibaya.hivi mpaka uende polisi huoni kuwa unakuwa umenyooshwa na kibano?
Umenichekesha huko mwishots better to accept the facts no matter what
ni sehemu ya mapenzi ukiwa king'ang'anizi unataka kugundua nini kwa mwenzako??
Ilishawai ntokea nilipewa namba ya demu na my frend, so tukawa tunachati vzr hadi kufikia level ya kuwa in love
Siku tukapanga tuonane, tulikuwa mikoa tofauti m nilikuwa domu chuo yeye alikuwa manyara
Mwanaume nikapanga safari, binti akaniongezea na nauli kidogo safar ikaanza all the way to singida nikalala kwa demu ambae tulikutana nae ktk basi mtoto wa kinyaturu mixer msomali kwa baba tukafanya yetu then mornie nika amkia manyara kumeet na binti
Daaaah nilivyofika tu binti kanipokea na rafiki yake stend,,,Daah imagination yangu juu ya huyo binti ni tofauti saana hakuwa mrembo kama nilivyozani, mfupi saana, mwembamba afya dhoofu so sikuwa interested nae
Nilichukua gest so nikaamua kubadilisha gia angani na kuanza kumtokea frend wake kumbe walipanga wanifanyie ndivyo sivyo
Tupo ndani ya gest, naenda kuoga niko ndani ya taulo kurud binti kafunga mlango vile nataka kuanza mechi tu binti akafungua mlango wakaingia watu wawili yule binti niliemtosa na jamaa nia yao wanipe kichapo kwann nilimtosa rafiki yao,(kind of fumanizi flani ivi)
Nashukuru mungu wahudumu wa gest walikuwa washaustukia mchezo so ikawa ndo pona pona yangu,
Basi nilipokea vitisho mwezi mzima,,mala hutothimamisha maisha yako yote, mala ooh lazima ufe ndani ya week hii,,we nilikoma nilichange line hadi leo kimya na wala sijafa wala kutokusimamisha naendelea kugegeda tu papuchi.
Kuachwa noma labda umpate mwelewa anaekubali kiroho safi vinginevyo ni shidaa.
Tena nyie wadada ndo mnakuwa ving'ang'anizi balaaaa sjui kwaniniUmenichekesha huko mwisho
Nyie mnatundanganya kwann tusiwang'ang'anieTena nyie wadada ndo mnakuwa ving'ang'anizi balaaaa sjui kwanini
Mbona hata nyie mnatudanganya sanaNyie mnatundanganya kwann tusiwang'ang'anie
vumilia tu, kwani wewe huli nje na si ulimkuta ameliwa tayarihata ukimfumania mkuu utakubali akugande?! kisa mwanamke wa kweli!
Kumi kwa mmojaMbona hata nyie mnatudanganya sana
Hahahaha unasema kumi kwa mmojaKumi kwa mmoja
Ndio kumi kwa mmojaHahahaha unasema kumi kwa mmoja
Nyie mzidi aisee.Ndio kumi kwa mmoja
Kila mtu anavutia kwake. UmeshindaNyie mzidi aisee.
hahaha usichoke mamaaa muda mwingine kuna vivuli katika safari na mapenzi hayalazimishwi nakumbuka kabla sijaoa enzi za uhuni kuna binti nilisumbuana nae sana ukicheck nilikutana nae kwenye simu nami nina mpenzi wa long time toka primary ikanibid nivae ukauzu hama namba block wapi anapiga muda wowote na ukicheck mwanzo kabisa nimemwambia ninae