Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 494
Mkuu kumbuka kuwa tabia huathiriwa na vitu vikubwa viwili yaaniMkuu kmbuka unaoa mwanamke co kaz yake, so n tabia ya Mtu Kwan wapo weng wameoa eidha mtu ambae hana kaz kabisa lkn wanajuta ktk ndoa zao, hivyo kaz si kitu mbali tabia au utu wa mtu ndo cha kuangalia
1 Asili
2 Mazingira