Hapo inategemea ila kuna mambo kama 2 ivi la kwanza fundi hakugonga mbao za purlin kwenye hip zile za kulala kushuka chin kulia na kushoto akaweka tu kati 1 au hajaweka kabisa kwa hiyo kofia hazijabana vizuriKatika nyumba;
1. Nini kinasababisha kofia za kushuka na zile za kulala kuvuja?
2. Nini suluhisho lake?
Kwakweli ukipiga bodi halafu nyumba ikawa inavuja inakera sana.