Kutokuwepo kwa Dr.Slaa kwa fanya siasa kudorora

Dr. Slaa alikuwa muhimu kama ilivyokuwa kwa Kanumba ktk filamu.
Alisimama na kusimamia misingi na miiko ya chama. Lakini pia alikuwa msafi na muadilifu mno. Alisema alicho kiamini na watu walihamasika kuwa mfuasi wake na chama chake.
Ujio wa Lowassa umekiweka chadema ktk tope zito. Maana alivyo nyanyapaliwa Dr. Slaa ndivyo hata huko ngazi za jimbo na kata wagombea walivyo nyanyapaliwa.
Mtakumbuka mgawanyo wa majimbo kwa vyama vinavyounda ukawa ulikuja mwishoni. Sasa waliokuwa wakiongoza ktk kura za maoni kupitia chadema walikuwa wanapewa nafasi za kugombea udiwani pasipo kufuata taratibu. Hii imevunja morali ya vijana na sasa wanaona kama chadema kina wenyewe na wenyewe siyo wao wala Dr. Slaa.
 
Ni tabia yenu wabongo kumsifia 'marehemu'.
Ninyi si ndiyo mlikua mnashinda humu mukimtukana Dr. Slaa matusi ya kila aina!!!
 
Mlikuwa mnasema baada ya uchaguzi ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani,mara ooh CDM ni Zitto mmebadika tena msema ili Magufuli afanye kazi ahitaji watu kama Dr.slaa
 
Mbowe aliharibu sana kumkaribisha Lowassa na kumuacha Rais wa mioyo yetu kutuachia chama......lilikuwa kosa.
Wewe una vyama vingapi?ACT......wewe
. CCM....wewe
Cdm tayari ulishafukuzwa kwa usaliti wako pamoja na kaka yako
 
Eti ccm mpya!!!ccm ni ileile tu maana hata baada ya kuingia magu bado tunashuhudia mafisadi kila kukicha mnaumbuana kutokana na pressure ya cdm
 
Dr mihogo kesha jichokea na sasa anatumbua minoti aliyolipwa baada ya kuisaliti cdm lkn akaangukia pua
 

Dr. Slaa amepita na mambo yake, siku hazigandi ..
 
Wao wanacho jali ni kuhakikisha mkono unaenda kinywani,hawana cha utaifa wala nini wao bora buku 7 zimeingia kibindoni
 
Dhamira njema ya Dr. Slaa ndio ilimuongoza vema ktk harakati zake!
Haina maana kuwa hakuwa na mapungufu, Ila kwa CHADEMA, Slaa alikuwa ni kama malaika!
Dr. Alikuwa mkweli zaidi na ndio maana ilibidi awekewe zengwe alipokuwa anapokelewa mzee mwenye fuba watu wakijua upinzani ambao ungezaliwa ndani ya chama!
Viongozi wapenda pesa walimtosa ili waishe kama mbinguni!
 
Mbowe aliharibu sana kumkaribisha Lowassa na kumuacha Rais wa mioyo yetu kutuachia chama......lilikuwa kosa.
Si umeona hapo juu: Asset vs Liability!! Liability ndio inaanza kufanya kazi sasa.
Leo nimeona mkutano wa UKAWA kupitia TV nikachoka. Wahudhuriaji walikuwa hawajai kiganja cha mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…