KICHINJIO 15
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 823
- 628
Unaweza kujumuika nami kwenye meza hii.Haya,nami ngoja niagize kinana 2 nione nitaletewa nini.
Unaweza kujumuika nami kwenye meza hii.Haya,nami ngoja niagize kinana 2 nione nitaletewa nini.
Ni tabia yenu wabongo kumsifia 'marehemu'.Nina uhakika Slaa akirejea na kujiunga au kuanzisha chama cha siasa ataleta changamoto zenye mashiko kwa serikali ya CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI.
Kwa sasa tunashuhudia siasa za kuvizia vizia tu...UKAWA wamebaki kukosoa uvaaji wa wanaccm na lugha ya kingereza anayotumia Magufuli.
Sababu zinafanywa na waafrika ndani ya mipaka ya ardhi yao...Siasa za Afrika zinaendelea kuzungukia watu, badala ya kuzungukia sera.
Wewe una vyama vingapi?ACT......weweMbowe aliharibu sana kumkaribisha Lowassa na kumuacha Rais wa mioyo yetu kutuachia chama......lilikuwa kosa.
Eti ccm mpya!!!ccm ni ileile tu maana hata baada ya kuingia magu bado tunashuhudia mafisadi kila kukicha mnaumbuana kutokana na pressure ya cdmNina uhakika Slaa akirejea na kujiunga au kuanzisha chama cha siasa ataleta changamoto zenye mashiko kwa serikali ya CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI.
Kwa sasa tunashuhudia siasa za kuvizia vizia tu...UKAWA wamebaki kukosoa uvaaji wa wanaccm na lugha ya kingereza anayotumia Magufuli.
Dr mihogo kesha jichokea na sasa anatumbua minoti aliyolipwa baada ya kuisaliti cdm lkn akaangukia puaNi Slaa huyo huyo aliyeendesha kampeni za mamilioni katika kusaka madiwani 21 uchaguzi wa marudio akaambulia kata 3 kwa chopa tatu huku CCM ikivuna nyingiii...
Slaa aliyezoea siasa za majungu na matusi kwa zama hizi asingeweza chochote!! Kanisa lilimpa backup kitu ambacho now asingeweza!!
Siasa inahitaji akili sana ndicho ukawa wanafanya.
Cdd ndio chama ganiWewe una vyama vingapi?ACT......wewe
. CCM....wewe
Cdd tayari ulishafukuzwa kwa usaliti wako pamoja na kaka yako
Slaa ni msaliti kama ulivyo wewe na kaka yako, ndio maana mlifukuzwaWewe ni CDM Lowassa......CDM asili hawezi mdhihaki Slaa
Nilikuwa na maana ya cdmCdd ndio chama gani
Ashitakiwe kwanini mkuu kwani kuagiza bia ni kosa?hahahaaaaa,unamaanisha NDOVU?Angalia utashtakiwa
Nina uhakika Slaa akirejea na kujiunga au kuanzisha chama cha siasa ataleta changamoto zenye mashiko kwa serikali ya CCM MPYA CHINI YA MAGUFULI.
Kwa sasa tunashuhudia siasa za kuvizia vizia tu...UKAWA wamebaki kukosoa uvaaji wa wanaccm na lugha ya kingereza anayotumia Magufuli.
Facts za kinafiki kama wewe ulivyo mnafikiumempa facts,thanks
Wao wanacho jali ni kuhakikisha mkono unaenda kinywani,hawana cha utaifa wala nini wao bora buku 7 zimeingia kibindoniKwa maana hiyo bado unaona serikali ya Magufuli ina mapungufu mengi ila wapinzani hawayaoni ndio maana ukataka dr slaa awepo.Siasa kwako ni nini?Je,ni kutafuta tu kashfa na kuziibua?Hamtaki Magufuli akosolewe lakini bado mnasema kukosekana kwa dr slaa kumezorotesha siasa,mnasimamia wapi?Kama angekuwepo CDM leo,si mngesema si mngesema si mzalendo,kwa mujibu wa lumumba team kila anayempinga dr Magufuli si mzalendo,hii imakaaje?Viwavi mnajichanganya sana
Dhamira njema ya Dr. Slaa ndio ilimuongoza vema ktk harakati zake!Najua baadhi yetu wakishasikia hili jina Dr.Slaa wanaanza kupanic ila ukweli ndio huo kwamba kutokuwepo strategistic man na nguli wa siasa za kifalsafa toka baada ya uchaguzi kumefanya siasa ya Tanzania kupwaya.Ukijaribu kufanya tafiti ndogo tu inavyoonekana ni kwamba wote walikuwa upinzania walikuwa wanapata msukumo na ujasiri wa kuzungumza hadharani kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya nchi hasa kufichua uovu na kuchukua hatua pale mwanafalsafa huyu anapolipigia msumari wa inchi 6.
Ni vizuri viongozi wanaoendesha harakati na siasa kwa upande wa upinzani kama wako wasafi kwa dhamiri zao na kwa nchi waendelee kusema na kufichua pamoja na kutetea haki za raia wema si kwa wao kutetea waovu.Dr.W.P.Slaa mara nyingi ni chachu na tegemeo la wanyonge na yuko tayari kwa lolota wakati wowote mpaka upande mwingine watakapoelewa.Kwa hali hii kama viongozi wetu mambo yamewawia vigumu basi wakubali masharti ya mwanafalsafa huyu ili aweze kurudi kwenye anga la siasa ya TZ.
Wadau wa siasa ni wakati wa kuwasaidia hawa viongozi wetu wa upinzani kwa kuwashauri vizuri ili tuwe na upinzani imara kwa afya ya nchi yetu.''BILA UPINZANI IMARA NCHI YETU ITAYUMBA''
-Naomba kuwasilisha!!!!!!.
Si umeona hapo juu: Asset vs Liability!! Liability ndio inaanza kufanya kazi sasa.Mbowe aliharibu sana kumkaribisha Lowassa na kumuacha Rais wa mioyo yetu kutuachia chama......lilikuwa kosa.