Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,295
- 152,063
Trump amekuja na misimamo na sera zinazogusa na kuathiri watu wengi ndani ya Marekani na nje ya marekani.
Trump anagusa imani za watu, tamaduni za watu na sasa anakwenda mbali kutaka kushirkiana na Waisraeli kuwaondoa wapelestina huko Gaza maamuzi ambayo pia yataamsha hisia za kidini na hata hisia za chuki za kibaguzi kwa misingi ya rangi na asili ya watu.
Trump kagusa mashoga, wahamiaji haramu, waajiriwa katika mashirika ya misaada ya Marekani duniani na sasa anakwenda kugusa wapelestina(waislaumu) mambo ambayo yanaweza yasimuache salama.
Muda utasema.