Kutoka Maktaba: Nyerere alipomtembelea Malkia Elizabeth

Broo Nyerere alipewa Uhuru wa bongo na madam ! So lazima watakuwa wanakauhusiano kakaribu ! Inawezekana mahusiano yalianza pale broo alipokuwa akisoma Endburgh university ! All in all picture inaonesha kuwa wanadeep connection !

Halafu usisahau madam alikuwa bosi wa broo kipind akiwa PM wa Tanganyika so walikuwa wanapiga sana story enzi zile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…