Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,065
- 2,378
Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu.
Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya Kabila letu la wapare. Na wengine wendawazimu hutuita wapalestina.
Suala la wanawake kuua waume zao. Huwa inatokea tu wanakufa si lazima wawe wameuawa na wapare wake zao. Ubahili sijui au ukatili ni mambo ya kitamaduni. Wapare wapo wanawake wazuri. Wengi tu wanapendeza machoni. Oeni hawa dada zangu.
Allahamdullilah huku wapo waumini wa Mnyaazi Mungu wengi kuliko sehemu nyingi za Kilimanjaro ambazo zimejaa waumini wa Dini ya kutokea kwa Mayahudi. Wapare ni watu wanaojielewa sana.