Kutembea na mume wa mtu

Wewe mwanamke unaye tembea na mume wa ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe ujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako
Hahaaaaa kwanza tuliza hasira vumilia tu tafuta kadogodogo kako utulize nafsi


Kizuri kula na wenzio
 
Pole, tuliza moyo wako, songa mbele na maisha yako. Utaja pata magonjwa ya Moyo bure ukawapa shida ndugu zako. Mume mlikutana mkiwa na meno 32 asikupotezee maana na thamani ya maisha aliyokupa Mwenyezi Mungu! Raha jipe mwenyeweeee
 
*New world population statistics*
Population 7.8 billion people on planet earth.

Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*

So baby gal shikilia...ikibidi Muone Miss chagga..akufunde kidogo
2.3+5.6=7.9 na 7.8 imekujaje mkuu .....lakini hzo takwimu ni makadilio....si halisi...................
 
Wewe mwanamke unayetembea na mume wa mtu ni mjinga sana, hivi wewe mwenzako katambulishwa wewe hujulikani zaidi ya guest acha ujinga unapotezewa muda ni sawa unasubiri basi la kwenda Zanzibar, nyie mnarudisha maendeleo nyuma wajinga sana, mnaleta migogoro katika familia wajinga sana, mnakumbatia bomu tumboni ondoka haraka katafute single mwenzako
Hivi kweli sisi wanaume tukiamua kuwa wachoyo itakuaje?? Si unaona kuwa wanawake wote watakosa wanaume?? Wahurumie wenzio, dont take it too serious
 
Itakuwa kweli ujue. Sidhani kama hajamwaga chozi.
atakuwa analia sa hivi ila atulie ajitafakari kabla ya kuanza kunyoosha kidole kwa mwenzie na kukaa kimya kutaepusha mambo mengi hasa kugombana .. halafu baada ya kutulia amueleze mumewe kwamba anamuumiza anavyofanya ikishindikana dawa ni kukaa kimya afanye majukumu yake ipasavyo kama anamtoto alee mwanae basi..........
na asifanye kosa la kumtafuta mchepuko sababu hayupo level yake
 
Back
Top Bottom