Paddy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 473
- 341
Msomi naona una account mbili JF na zinakuchanganya sana. Mfano nikitaka kuwa mwalimu wa chuo kikuu, ipi itanifaa CPA au Master's Degree?Ninazungumza ninachokijua vizuri. Hizo Bcom na CPA na MBA tunazo na zina miaka zaidi ya 20. Hiyo CPA ilipatikana kwa flying colours. Ungekuja na heshima ungeshauriwa kuliko hata unavyofikiri.
Ukisahihishwa kosa la kweli kubali na sio kuvuta mdomo.
Unatuharibia taaluma zetu zinazotupa jina mjini.