Kusaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 ilikuwa laana? Mbona wote waliojitolea wanadhalilika?

Na ndio maana habari ipo kwenye jukwaa la siasa, hivi nikuulize kama wewe akili zako aziwazi siasa umefunguaje Jamii Forum na hasa kwenye hili Jukwaa la Siasa? nafikiri AKILI ZAKO UNAZIJUA MWENYEWE!!
Akirudi tena huyu nitashangaa sana .
 
Wale wote ambao mmelaaniwa baada ya kuwa upande wa shetani wakati wa uchaguzi mkuu , njooni hapa kutoa shuhuda zenu .
 
Hiki chama ni cha laana hona ata hawa waliopewa ulaji sasa nao wanafanya mambo ya laana wengine wamejigeuza miungu watu wengine watakula rambi rambi yaani kwenye laana ni laana tu imetamalaki
 
Itakuwa una vyeti vya stationery hahaha! Natania mkuu
daaaaa, ndugu umegusa panapo. umeniamshia maumivu jamani. Mimi binafsi nilikuwa team CCM, Team Magufuri mwanzo mwisho. Nilikosana hadi na rafiki zangu na hata baadhi ya ndugu na jirani sababu ya kupigia debe CCM. baada ya uchaguzi kilichonikuta... ni siri yangu, japo sababu ndo nadhani ni laana za kushadadia CCM kipindi cha kampeni. Naona aibu hata kukutana ba baadhi ya watu. Anyway acheni tu
 
Hata kuishabikia tu sisiem kwa sasa ni laana kubwa mno yaani lazima uje kupata mateso makali sana hata kama sio hapa duniani huko unakoenda baada ya kifo utajuta
 
Hata kuishabikia tu sisiem kwa sasa ni laana kubwa mno yaani lazima uje kupata mateso makali sana hata kama sio hapa duniani huko unakoenda baada ya kifo utajuta
True ! Hali ya lizaboni kwa mujibu wa mashuhuda ni ya kusikitisha sana , itakuwa laana .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom