Mkuu hebu ona hili langu na unambie likoje..Niliondoka kwenda kusoma bila ruhusa na nikafutwa payroll....Niliporudi TSD wakanizungusha na wakati TSD wakiendelea kunisumbua nikaomba kibali cha chief secretary maana nilipata kazi sehemu nyingine shirika la umma....
Sasa TSD wanasema walipendekeza nifukuzwe kazi na mapendekezo waliyapeleka utumishi...Lakini wakati mapendekezo hayo yameenda kibali nkapata na nipo kazini kwa shirika la umma...
Swali langu je Utumishi wanaweza jibu tena mapendekezo ya kufukuzwa kazi ya tsd?
Na ikitokea wakajibu kuwa nifukuzwe wakati ile halmashauri nshahama inaweza niathiri huku nilipo?