Kurudi Clouds Fm; Masudi Kipanya ajigamba, ni pesa tu!

Nimesikitika sana kuondoka kwa Gerald Hando. Jamaa anajua sana kutangaza. Power breakfast aliiwezea sana, zaidi zaidi yupo vizuri kichwani, anajua kuhoji kwa weledi na kuchambua mambo vizuri sana, kujenga hoja...nk, nk.

Sidhani kama Kipanya ataweza kuvaa viatu vya Hando.

Fredwaa nae ndio hata sielewi anachofanya pale.
Kabisa ndugu nobody can wear someones shoe no matter what wale watu walikua wameshajiestablish vema na they master it.Fredwa bado no matter how long he will take amebaki babra tu i think mana kwa kipanya si vile though anajulikana.
 
Mkuu hakuna kitu muhimu kama generation, generation yako ikipita utaangaika sana na haitosaidia.

Masudi na Gadna ni wale wale, vipaji ni vile vile. Tatizo kizazi chao ambacho walikuwa nacho wakati wapo hot akisikilizi tena radio.

Gerald ana advantage sababu yupo hot kwenye wasikiliza radio wa kipindi hiki.
Well said waerevu wataelewa those days kweli sikuwaga namsikiliza kp so hana influence yoyote kwangu the only thing ni kusiwtch tu.
 
Hivi tuwe wakweli ....unamlinganishaje Kipanya na Hando? Kipanya ndani ya muda mfupi ameshakuwa sawa na wenzake na sasa PB inasonga kamakawa labda kwenye usomaji magazeti ambao hata kabla ya PJ tulikuwa interested na jinsi Kipanya alivyokuwa anahoji vitu na si msomaji wa magazeti ....
 
Back
Top Bottom