Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,102
- 4,228
Kwani mtu akifa watu wote nao wanakufa nae?
..naibu spika angewaachia wengine waongozd vikao vya bunge.
..huyu mama hana jimbo. Ni mbunge wa kuteuliwa na raisi.
..ni makosa mtu wa namna hiyo kuwakwaza wabunge waliotokea majimboni na kambi nzima ya upinzani.
Kura ya siri haifai, inaweza kuchakachuliwa na usiwe na la kusema. Na hii ndiyo iliyowaponza ukawa wakati wa bunge la katiba. Waling'ang'ania kura ya siri bila ya kujua kwamba wakati wowote ikifanyiwa manuva huna namna utalalamika uliyeshindwa. Ya wazi ni nzuri kwa watu walio na free mind.Ukisema hapana umejimaliza kisiasa.
Ingekuwa kura ya siri ingeleta uhalisia
Hatuna free mind.Unatakiwa ku-vote kwa kufuata msimamo wa chama ata kama ni mbaya.Kura ya wazi iliharibu mchakato wa katiba.Kura ya siri ndio jibu.Kura ya siri mtu anapiga kwa utashi wake kufuatana na uwakilishi wa jimbo lake.Ya wazi wizi mtupu.K
Kura ya siri haifai, inaweza kuchakachuliwa na usiwe na la kusema. Na hii ndiyo iliyowaponza ukawa wakati wa bunge la katiba. Waling'ang'ania kura ya siri bila ya kujua kwamba wakati wowote ikifanyiwa manuva huna namna utalalamika uliyeshindwa. Ya wazi ni nzuri kwa watu walio na free mind.
Kwa nini wasing'ang'anie kubadilisha sheria iliyotumika yeye kuwa Spika? Huoni kususia vikao ni kupambana na the seemingly a problem, Mechanically??
..kutokana na idadi yao kuwa ndogo wabunge wa upinzani hawana uwezo wa kubadilisha kanuni au kuzuia mswada usipite.
Kwa hiyo wao kutoka nje na kususia vikao halali ndo namna sahihi ya kupigania taifa katika hili??