Kupitia MO Dewji faundation, maelfu ya watu wapokea huduma za kutibu macho bure kwenye hospitali ya Mt Fransis ifakara

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
8,407
14,970
Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis.

Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri.
Kambi hii imefadhiliwa na Mo Dewji akishirikia na hospitali ya mt fransis.
Kambi hii itakuwepo hapa mpaka tarehe 3/7/2024.
Kwa wale wenye shida na matatizo ya macho mnakaribishwa kuja kupata huduma hii bure kabisa.
20240630_100905.jpg
20240630_100927.jpg
20240630_100856.jpg
20240630_100905.jpg
 
Back
Top Bottom