Hujajibu swali.Ni mtumishi
Ni mtumishi
Meseji ya kawaida sana hii mwanangu,mm nkadhani kakutumia konection,watu tupooze machungu
kwa hiyo msg ndio una conclude unapendwa bro? how old are you mahi?? subiri kikupige kitu kizito utaelewa tu hapo bado ukute hio msg moja kawafowadia wanaume zake kama saba hivi na wewe ukiwepo
Yape muda...
Yape muda..