Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,472
- 13,639
Mbalamwezi imeandama sana hakuna loloteNimetoka nje kucheki hali nilichoona tofauti ni kuna mwanga kama mchana au taa imewashwa kali
Mbalamwezi imeandama sana hakuna loloteNimetoka nje kucheki hali nilichoona tofauti ni kuna mwanga kama mchana au taa imewashwa kali
Sasahivi ndio kuna mabadiliko mwezi umeanza kuwa giza sehemu ya juuMbalamwezi imeandama sana hakuna lolote
Utasikia tunampongeza mama! Anaupiga mwingi !!!Hayo ni matunda ya Royal Tour hadi kupatwa kwa mwezi kumeamua kuja kwetu!
We acha tu.
Tarehe za heading na content haziendani shekheee. Au mimi macho yangu hayaoni?Wataalamu wa nyota wanaelezea kuwa kutakuwepo na kupatwa kwa Mwezi kesho katika sehemu kadhaa za Dunia. Kwa upande wa Tanzania tukio hilo litaanza mwendo wa saa 10 alfajiri hadi milango ya saa 12 asubuhi. Naambatisha tukio hilo kwa Dar es Salaam toka maelezo ya hao Wataalam.
View attachment 2226022
Upo sahihi kabisa. Niliomba radhi kwa kosa Hilo na kuwataka moderator wafanye masahihisho kwenye hiyo tarehe. Tukio lilitokea tarehe 16/5/2022. Asante.Tarehe za heading na content haziendani shekheee. Au mimi macho yangu hayaoni?
Hebu soma, hariri na uliweke sawa hili andishi lako.