KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,228
- 5,165
Kuna dini itadai huu ndio mwisho wa dunia
The prophet Muhammad is quoted as saying, “The sun and the moon are two signs of Allah; they are not eclipsed on account of anyone's death or on account of anyone's birth. So when you see them, glorify and supplicate Allah, observe the Prayer, give almsWataalamu wa nyota wanaelezea kuwa kutakuwepo na kupatwa kwa Mwezi kesho katika sehemu kadhaa za Dunia. Kwa upande wa Tanzania tukio hilo litaanza mwendo wa saa 10 alfajiri hadi milango ya saa 12 asubuhi. Naambatisha tukio hilo kwa Dar es Salaam toka maelezo ya hao Wataalam.
View attachment 2226022
Mkuu badili tu heading iwe 16 MAY 2022 wengi tungedhani no 26/5/2022Wataalamu wa nyota wanaelezea kuwa kutakuwepo na kupatwa kwa Mwezi kesho katika sehemu kadhaa za Dunia. Kwa upande wa Tanzania tukio hilo litaanza mwendo wa saa 10 alfajiri hadi milango ya saa 12 asubuhi. Naambatisha tukio hilo kwa Dar es Salaam toka maelezo ya hao Wataalam.
View attachment 2226022
Nimepitia hii date mara tatutatuMkuu badili tu heading iwe 16 MAY 2022 wengi tungedhani no 26/5/2022
NI kesho alfajiri 16/5/2022Nimepitia hii date mara tatutatu