KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,977
- 4,783
Wataalamu wa nyota wanaelezea kuwa kutakuwepo na kupatwa kwa Mwezi kesho katika sehemu kadhaa za Dunia. Kwa upande wa Tanzania tukio hilo litaanza mwendo wa saa 10 alfajiri hadi milango ya saa 12 asubuhi. Naambatisha tukio hilo kwa Dar es Salaam toka maelezo ya hao Wataalam.