Kupatana.com mnaboa sana....

Tatizo siyo kupatana.com hata wanaoweka matangazo mule wazushi poa wapi syo wauzaji hadi wanunuzi!
Ninachokijua biashara za mtandaoni kuwepo wapigaji lazima watakuwepo tu!kikubwa wewe unayetaka bidhaa mule use makini tu
 
Basi nadhani hiyo business model ni kama ile ya Craigslist.com

Kibongo bongo bado sana aisee.
yeah,you re right,wako kama craiglist sio kama ebay,maana muuzaji na mnunuaji wanafanya biashara bila transaction kupitia kwao kupatana.com.Lkn inahitaji umakini sana maana dunia ya leo kila mtu n mpigaji of some form,niliwahi kuuza pc yangu humo na biashara ilienda smooth kabisa
 
Naagiza bidhaa zangu kupitia kaymu,jumia hawa jamaa wako poa sana hawana longolongo wengine siwaamini.
 
Kibaya zaidi mataperi washaingia hapo mm nilitapeliwa na dalali mmoja wa nyumba aliejitangaza ndani ya mtandao huo.
 
Kama kuna mtu alishawahi kujibiwa Email yake aje atoe udhibitisho hapa.
It took me almost a year, email kujibiwa nilikua nimeshasahau hata kama nilituma. A YEAR....si mchezo hawa jamaa wako nyuma sana
 
Kweli kabisa inaboa.kama biashara ya tangazo husika imeshafanyika then tangazo liondolewe kuepusha usumbufu.mimi kuna jamaa alikua anauza kuku nilipomtext akanijibu hovyo kabisa.eti wewe nani wakati biasha kaweka yeye mwenyewe.nilimshambulia kwa matusi ya kasi ya ajabu mpaka akatambua kwamba watu wanakua serious yeye analeta ujinga ujinga
 
52d32ec51513534e0b99cbc133464518.jpg
d4eade648411ae65c8766c8cf2c5203e.jpg
540c4d2630ec15b7a6b7138ef12e15a7.jpg



Kupatana wamejaa matapeli jana kuna gari niliiona nikawatumia mail na hayo ndio majibu niliyopewa....

Hawataki uone gari wanataka hela kwanza....
Nimewasiliana na Kupatana wanasema hao ni matapeli na watawafungia.
 
Jamaa wameendelea na harakati zao muda huu wamenitumia mail tena na kujifanya Kupatana....

Kuweni makini sana na hawa jamaa
6b6c6a8d7c923a1b4988210eba24b709.jpg
d73272f5feb060979bf6df6d6972a153.jpg
13a7484042785dc22bc5c0892a84883a.jpg


Hii ya mwisho wamenitumia na pdf file sijui ndio documents za mauzo ya gari...
 
Unakuta tangazo mtu anauza kitu
lakini hakuna namba ya simu
kuna email tu
hiyo email ukituma kuulizia hiko wanachouza
hawa reply...
hata kusema tu kama kimeshauzwa
na sio tangazo moja
unakuta matangazo 20 hivuo hivyo
kwa kweli inaboa sana
jitahidini mpige marufuku matangazo yasiyo eleweka hasa yasiyo na simu no..
ni usumbufu mno

mtu mwisho ataona matangazo yotee ya kupatana.com ni feki ...
inaboa sana....
The Boss kwa nia nzuri kabisa.
Fungua biashara kama hiyo. unajua matatizo ya mteja
Kwa hiyo utatekeleza Kama ipasavyo.
Kuna msemo "kama hulindi wateja wako mwengine atawaiba wote"
Kwa hiyo The Boss biashara hiyo
Kianzio Kuelewana.com
Hapa ni dili tu.
 
Back
Top Bottom