Bei zao tu nikaanza kushtuka kua pale wapigaji wapo na hawana details za kutoshaNaskia kuna wapigaji sana mule
kuna email tu
hiyo email ukituma kuulizia hiko wanachouza
hawa reply...
Sasa si bora waweke namba za simu kama email inasumbua??Kupatana.com ni kama eBay?
Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.
Si watu binafsi, si taasisi.
Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.
Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.
Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.
Kupatana.com ni kama eBay?

I am not sure about ebay inavyo fanya kazi
but kupatana wao hawauzi chochote
mtu anaweka tangazo lake na anachouza halafu anaweka mawasiliano yake
now hapo ndo kwenye shida
mtu anauza kitu mfano gari
halafu kaweka email tu ya mawasiliano
hiyo email imekaa kimagumashi magumashi mno
haioneshi kama ina ukweli na ukituma email hupati reply
sasa unaweza kukuta matangazo ya dizaini hiyo yamejaza page
yote hayana simu no ni email na ni magumashi tu...
yapo matangazo ambayo pia yana no za simu na unawapata wahusika
now ninachowaomba hawa kupatana wajaribu ku screen tu matangazo
ambayo hayana no ya simu wasiyaweke
waweke yenye email ambazo ni genuine na mtu unaweza kupata majibu
otherwise soon watu wataona everything mule ni magumashi na utapeli wata ignore
Kupatana.com ni kama eBay?
Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.
Si watu binafsi, si taasisi za serikali.
Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.
Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.
Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.
Kupatana.com ni kama eBay?
Ila hapo kwenye kujibu barua pepe kwa Watanzania, kwa ujumla wake, ni majanga.
Si watu binafsi, si taasisi za serikali.
Ukiandika barua pepe na kujibiwa katika muda muafaka itabidi ushangae.
Mimi kuna sehemu nyingi tu ambazo nimeshajaribu kuwasiliana nazo kwa njia ya barua pepe na hakuna hata mmoja aliyesumbuka kunijibu.
Huwa sielewi kwa nini hata wanakuwa wanaziweka hizo anuani zao kwenye tovuti zao ilhali ukiwaandikia hawajibu.
hapana, tatizo wabongo sisi sio wazingativu, mbona mimi nasoma na kutuma email kwa kutumia ki itel cha elf30 tuMtu anamiliki barua pepe ila hana jinsi ya kuingia kwenye hiyo barua pepe mara kwa mara.
Aidha, aende ofisini au internet cafe.
Wanakua wameshau passwordKupatana.com ni kama eBay?