Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 668
- 1,523
Hali ya siasa ikibaki kama ilivyo na tume hii ikibaki kama ilivyo iwe jua iwe mvua Mama Samia ni Rais na Dr Nchimbi ni Makamu wake! Na wakishinda watakuwa madikteta maana watakuwa wameshika Chama na serikali.
Ndio kusema kuwa wawili hawa ambao ni viongozi wakuu wa Chama Tawala wana maslahi ya moja kwa moja na mfumo wa uchaguzi ulivyo kwasasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni lazima presha iwe kubwa sana nje na ndani ya CCM yenyewe! Maana chama ni kama kimetekwa hivi. Wana CCM baadhi walitaka kofia zitenganishwe matokeo yake zimezidi kufungwa fungwa.
Watanzania wote bila kujali itikadi na dini tunapaswa kuungana.