Pre GE2025 Kupata Tume huru mezani kwa chama ambacho M/kiti na Katibu Mkuu wake ni Wagombea ni ngumu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
668
1,523
Hali ya siasa ikibaki kama ilivyo na tume hii ikibaki kama ilivyo iwe jua iwe mvua Mama Samia ni Rais na Dr Nchimbi ni Makamu wake! Na wakishinda watakuwa madikteta maana watakuwa wameshika Chama na serikali.

Ndio kusema kuwa wawili hawa ambao ni viongozi wakuu wa Chama Tawala wana maslahi ya moja kwa moja na mfumo wa uchaguzi ulivyo kwasasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni lazima presha iwe kubwa sana nje na ndani ya CCM yenyewe! Maana chama ni kama kimetekwa hivi. Wana CCM baadhi walitaka kofia zitenganishwe matokeo yake zimezidi kufungwa fungwa.

Watanzania wote bila kujali itikadi na dini tunapaswa kuungana.
 
We umeandika point Ila uliingia sisiemu wakati wa magufuli Ila ukatoka 0-0

Na mama anazidi kuwakumbatia watu wake 😁😁😁
 
Hali ya siasa ikibaki kama ilivyo na tume hii ikibaki kama ilivyo iwe jua iwe mvua Mama Samia ni Rais na Dr Nchimbi ni Makamu wake! Na wakishinda watakuwa madikteta maana watakuwa wameshika Chama na serikali.

Ndio kusema kuwa wawili hawa ambao ni viongozi wakuu wa Chama Tawala wana maslahi ya moja kwa moja na mfumo wa uchaguzi ulivyo kwasasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni lazima presha iwe kubwa sana nje na ndani ya CCM yenyewe! Maana chama ni kama kimetekwa hivi. Wana CCM baadhi walitaka kofia zitenganishwe matokeo yake zimezidi kufungwa fungwa.

Watanzania wote bila kujali itikadi na dini tunapaswa kuungana.

Mabadiliko ya kweli lazima yatatoka nje ya CCM.

Na ili kupata mabadiliko ya kweli katika nchi hii ya Tanzania ni LAZIMA CCM IFE KWANZA. Bila ya CCM kufa kwanza kamwe Mabadiliko ya kweli hayataweza kupatikana.

Nchini Kenya enzi za Utawala wa KANU, aliyekuwa Rais wa nchi hiyo na Utawala wake walikuwa wanafanya mambo Kama haya haya yanayofanywa na CCM hapa Tanzania. Ili kuleta Mabadiliko waliyokuwa wakiyataka Wananchi wa Kenya waliamua kuiua KANU kwanza ndipo walipofanikiwa kuleta Mabadiliko waliyonayo hivi Sasa.
 
Hali ya siasa ikibaki kama ilivyo na tume hii ikibaki kama ilivyo iwe jua iwe mvua Mama Samia ni Rais na Dr Nchimbi ni Makamu wake! Na wakishinda watakuwa madikteta maana watakuwa wameshika Chama na serikali.

Ndio kusema kuwa wawili hawa ambao ni viongozi wakuu wa Chama Tawala wana maslahi ya moja kwa moja na mfumo wa uchaguzi ulivyo kwasasa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni lazima presha iwe kubwa sana nje na ndani ya CCM yenyewe! Maana chama ni kama kimetekwa hivi. Wana CCM baadhi walitaka kofia zitenganishwe matokeo yake zimezidi kufungwa fungwa.

Watanzania wote bila kujali itikadi na dini tunapaswa kuungana.
Poleni ..
 
Tuendelee na mbinyo nje na ndani huku tukimuombea Mh Rais ,Mungu azidi kumjalia HEKIMA n BUSARA
N.B
Ajue tu lolote BAYA lawama zitaenda kwake , hii ni mujibu wa Katiba yetu hii CHAKAVU- Urais ni UFALME
 
Mbaya zaidi simbachewene anadai muda hautoshi!
Kumbe tunayodai ni sahihi ila muda tu ndo hautoshi!?
Muda wa kuwahi wapi???
No reforms no election! Go lisu go
 
Back
Top Bottom