Kupata mwanamke bikra sio kila kitu

Ukiwa na chance ya kupata gari brand new kutoka kutengenezwa na gari second hand utachagua lipi!?
Mi nadhani ni nature tu ya binadamu... Kitu kipya kinathaminiwa zaidi!!!
Ila wanaiotaka wasichana bikra kwa kigezo cha kutochepuka kwa mdada basi wanajidanganya!!! Wengine wanatamani sana kugegedwa ila kuna sababu zinawazuia kufanya hivyo na kutunza ubikra wao... Pale ambapo bikra itatolewa basi atataka alipize yote aliyokosa huko!!!

Kuna wengine wanapenda kutumia products kama laptop second hand!!! Zina tabia ya kuhimili misukosuko kuliko brand new products!!
 
usiombe kupata bikra. watakupelekesha ka gari bovu kisa wao nia mabikra yani wasahau kabisa mabikra wana mategemea makubwa sana katika mahusiano ambayo hayako kihalisia
 
Utoaye bikira ndiye mke wako halali katika mwili na Roho hii ni Kwa waamimi BIBILIA.NDIYO MAANA Mungu aliwaaambia waoe bikira siyo issue ya kuch
eat.cheating is a spirit of somebody
 
Wengine tuliitaafuta mpaka kidogo tuchungulie pale BUTIMBA ila ndo ivyo tena hata hatujaipata mpaka tuka kata tamaa. ila ndo ivyo tushaoa
 
Urithi wa mke Juu ya ardhi upo Juu ya mume aliyempasua bikira.nje ya hapo mnalazimisha Kwa sababu wake zenu walishabikiriwa na wengine.la
 
unajua hapa kuna vitu viwili tunavichanganya... mwingine anaweza kukusaliti ila moyoni anakupenda kuliko yoyote yule.. nahisi ndo anachomaanisha mtoa mada!!!
mh! hivi unaweza kumpenda mtu moyoni yuliko yoyote alafu na baadae ukamsaliti???
 
mh! hivi unaweza kumpenda mtu moyoni yuliko yoyote alafu na baadae ukamsaliti???
yaah.. tena inawezekana 100%... amini sio wote wanaochepuka hawawapendi wapenzi ila kuna kasoro ndogo ndogo tu za kimaisha kama pesa!
 
Back
Top Bottom