Kuonyeshwa Bunge LIVE: Rais Magufuli, Mbona unatugeuka Wanyonge?

kweli hapa kazi tu..magufulu hataki wananchi waone mawaziri wake uozo wanavopewa makavu bungeni
 
Kupanga ni kuchagua mkuu na maendeleo ni gharama! Unataka kuniambia wotu wote TZ wana tv majumbani mwao hadi iwe lazima alione Bunge live?

Kwa hiyo, kurusha vipindi live maana yake ni mpaka Watanzania wote wawe TV? Kama hiyo ni kweli mbona vipindi vya bunge vimekuwa vikirushwa bila shida isipokuwa sasa hivi ambapo inasemekana ndipo shida hiyo imejitokeza?
 
Kupanga ni kuchagua mkuu na maendeleo ni gharama! Unataka kuniambia wotu wote TZ wana tv majumbani mwao hadi iwe lazima alione Bunge live?
wasio na tv walikuawanafatilia kupitia redio tbc pia waliweza kuangalia kwa walionazo kama majiran na nk.watanzania wenye.mapenz na nch hii walikua tayar kufatilia hata kwa kusikiliza kwakupitia sim zao za viganjani.
ila niliwah kusema hapa serikali yoyote kupitia ccm haitakaa iwaridhishe wananch wake hata siku moja labda iwe upinzan ndipo ije irud
 
Mwezi Desemba wanajitapata wamevunja rekodi kwa kukusanya kodi ya sh trilioni 1.4 mwezi Januari hawana pesa ya TBC kurusha live vikao vya bunge. Which is which jamani, mwaka huu tutakoma ubishi.
 
Tbc hiihii au kuna nyingine? Hii ya taifa chini ya katibu mwenezi ccm haina uwezo wa kuonesha mambo yanayoiumbua serikali. Harusi ndiyo utapata live sio bunge.Ukawa waanzishe Utv maana sisiemu wenzao washajimilikisha tibisii.
 
ccm inaaua democrasia na kukandamiza haki za binadam ikiambatana na kukandamiza uhuru wawatuwake.walianza kuwazuia upinzani kufanya mikutano ya hadhara wamekuja kutunyima kuona bunge live.lengo ninini?wanajua kwavyovyote bunge hili litakua moto kwao kutokana ongezeko kubwa la wabunge wa upinzani bungen.pia serikali hiii inajua waz haina uwezo wakutekeleza ahad zake ilizoahid wananch kwa miaka hii mitano tatu miswada itakayopitishwa na serikali.asilimia kubwa kutokua na maslah ya kutosha kwa nch na kusababisha upinzan kujenga hoja zenye nguvu na kuwafanya wananch kuzid kuwapenda.nne wanajua kwakuonyesha live kutawafanya uchaguz ujao uwe mgumu sana kwa ccm.hivyo nilazma kwao kwanza kuhakikisha wananch wanapata taarifa ziletu zitakazoipa serikali sifa.zile walizokosea musizijue.na ili wafanikiwe nilazma kwanza kuwazuia wapinzan kufanya mikutano na kuzuia bunge kua live ili waweze kuwadanganya wananch maskin na ahad zao hewa
 
Hivi ni TBC pekee ndiyo inayoonyesha mijadala ya Bunge?

TBC kua ni channel ya taifa inauwezo wa kurusha bunge muda wote bila kuingiliwa na matangazo au kipindi kingine chochote but hizo chanel nyingine zinaonyesha only pale wanapoona pana nafasi kikitokea kipindi kimelipiwa au tangazo wanauwezo wa kutoa muda wowote na ku stop matangazo ya bunge cos hawana obligation ya kuonyesha hayo matangazo cos hawalipwi na mtu wala wao hawamlipi mtu kuangalia.
thats why tunaitaka tbc ionyeshe cos haihitaji matangazo kujiendesha wao wanawakilisha budget yao serikal kuu so tbc ndio responsibility yao kurusha hayo matangazo ya bung
 
Tafadhali serikali ya magufuli na TBC msitake kutufany watanzania wendawazimu kabisa msipende sana ku test petiency yetu mmetuzimia live bunge tumenyanyaza mkatuaminisha mtaturecodia na kutupa usiki mkiamini kwamba hatuta angalia cos ni usiku but watu sababu ya mapenzi ya nchi yetu tunakesha kuliangalia badala yake MNATUWEKEA ONLY SAA MOJA hivi hili bunge la 11 lina operate only one hrs? hayo ma saa mengine mnayaficha mje muwaonyeshe wake zenu na hilo saa moja mnalo tuchagulia ni part ipi ya bunge ni asubuhi au lunch au jioni acheni mambo yenu ya kihuni tafadhali TBC na Magufuli+Nape tunaomba mtuwekee bunge lote la siku nzima sisi tutakesha na kufatilia na kulifanyia Analysis hapa kwa JF, tafadhali mtuwekee bunge lote msichague zile sehemu ambazo wake zenu wanazipenda wekeni loteeeeee pleaseeeee.
Akili za watu wa chadema hizi
 
Unafikiri watu wote Tanzania wanaangalia mijadala ya Bunge mpaka iwe lazima ionyeshwe kwa vile tu ni chombo cha Umma?
 
Zinazoonyesha ni Azam Tv & Star Bunge Tz ambazo ni za kulipia. Watanzania 70% ni maskini, na ndio hulilia hata kupata huduma za bure huku hospitali. Sasa umwambie anunue king'amuzi cha kulipia ili aone bunge ataweza?

Kama ni maskini halafu ana TV huyo sio maskini lakini hata kama ni maskini kukaa kwenye TV usiku kucha au mchana kutwa akiangalia TV awe anaangalia bunge au vipindi vyovyote kutazidi kumwongezea umaskini kwa kumwogezeka gharama za bili ya umeme sababu TV haitumii hewa inatumia umeme.Pesa ambazo angezitumia kuanzisha hata mradi wa kuchoma mihogo au kuuza karanga mitaani.

Maskini aliyepania kuondokana na umaskini hana muda na TV ni kazi tu usiku na mchana hadi umaskini ung`ooke.Kushauri watu wakae kwenye ma -TV muda mrefu ni kutengeza maskini wengi katika taifa.Hata kama ni usiku hawatakiwi waangalie muda mrefu ili walale waamke na nguvu za kwenda kufanya kazi za kuwaondolea umaskini wakiwa na ngucu na wakiwa hawana usingizi

TBC waendelee na utaratibu huu walionao wa kurekodi na kuonyesha yale ya muhimu kwa muda mfupi usiku
 
Tafadhali serikali ya magufuli na TBC msitake kutufany watanzania wendawazimu kabisa msipende sana ku test petiency yetu mmetuzimia live bunge tumenyanyaza mkatuaminisha mtaturecodia na kutupa usiki mkiamini kwamba hatuta angalia cos ni usiku but watu sababu ya mapenzi ya nchi yetu tunakesha kuliangalia badala yake MNATUWEKEA ONLY SAA MOJA hivi hili bunge la 11 lina operate only one hrs? hayo ma saa mengine mnayaficha mje muwaonyeshe wake zenu na hilo saa moja mnalo tuchagulia ni part ipi ya bunge ni asubuhi au lunch au jioni acheni mambo yenu ya kihuni tafadhali TBC na Magufuli+Nape tunaomba mtuwekee bunge lote la siku nzima sisi tutakesha na kufatilia na kulifanyia Analysis hapa kwa JF, tafadhali mtuwekee bunge lote msichague zile sehemu ambazo wake zenu wanazipenda wekeni loteeeeee pleaseeeee.
Punguza jazba
 
kweli hapa kazi tu..magufulu hataki wananchi waone mawaziri wake uozo wanavopewa makavu bungeni

JE wajua sifa za nchi iliyochanganyikiwa

Sifa mojawapo ni hizi zifuatazo

1.Ukiingia msikitini unakuta waislamu wameshika biblia wanaichambua
2.Ukiingia Kanisani unakuta wakristo wameshika kuruani wanaichambua
3.Ukiingia kanisani au msikitini unakuta viongozi wa Dini wanahubiri na kuchambua siasa mwanzo hadi mwisho wa ibada
4.Ukienda asubuhi shambani unamkuta mkulima anasikiliza kipindi cha leo katika bunge kwenye ka radio anakotembea nako badala ya kulima
5.Ukienda ofisini asubuhi unakuta wafanyakazi wanaangalia kipindi kwenye TV cha leo katika bunge badala ya kufanya kazi
6.Ukienda eneo la biashara unakuta muuzaji kakodolea TV anasikiliza kipindi cha leo katika bunge badala ya kuhudumia wateja
7.Ukienda Majumbani mchana badala ya mama mwenye nyumba kutulia kupika anasikiliza kipindi cha leo katika bunge hadi anaunguza chakula jikoni na kulambwa makofi na kuishia kupewa talaka
8.Ukienda majumbani usiku unakuta mtu usiku kucha anasikiliza kipindi cha leo katika Bunge badala ya kulala awahi kazini au chuoni au shambani akiwa na nguvu na bila usingizi hali inayosabisha awe mvivu kazini ,vyuoni,shambani nk siku inayofuata kwa kuwa ana hangover ya usingizi na hivyo kuathiri utendaji wake na mafanikio yake
 
Kwa heshima na taadhima tunaomba vipindi vijavyo vya Bunge vionyeshwe live. Wakati Bunge likiwa live wananchi wote tunapata wasaa wa kujua kinachoendelea nchini na hasa masuala ya maendeleo. Wananchi wote bila kuweka itikadi ya vyamav yao wanataka Bunge lionyeshwe live. Tunachukua fursa ya kukuomba kwa heshimana taadhima VIPINDI VYA BUNGE VIONYESHWE LIVE.
 
Back
Top Bottom