jiandae kutoa matundu yote,unafikiri rahisi kuolewa na mzungu
Originally Posted by kukuna
jiandae kutoa matundu yote,unafikiri rahisi kuolewa na mzungu
YAH WALIOOLEWA AU KUTOKA NA WAZUNGU WOTE NI MALAYA WA KUFA MTU:angry:
Acheni hizo...Wenzetu wako wazi na ndio maana Aids iko chini na kuna idadi ndogo ya wasichana wanaopata mimba chini ya umri. Hebu hapa kwetu angalia hatuwafundishi mabinti na vijana wetu kuhusu ngono, sasa unategemea nini inajulikana wazi kuwa mtu akipata balee au kuvunja ungo basi mwili wake ubadilika na huanza kupata nyege. Sasa zamani huku kwetu kulikuwa na unyago na jando ambako vijana walifundishwa haya mambo ya ngono na jinsi ya kukabiliana nayo. Siku hizi hamna ndo maana asilimia kubwa tu ya mabinti zetu wanapata mimba wakiwa bado shule za msingi.
Angalia wenzetu ulaya wanajua hilo wanaruhu mabinti au vijana wao kuwa na wapenzi maana ni asili ya binadamu. Ukiwatolea nje ndo kama hapa unaishia kupewa mimba na kina fataki na upuuzi wa wazee na serikali kufukuza mabinti shule wapatapo mimba bila kuangalia mzizi wa tatizo na kutoa elimu nasaha kuhusu ngono.
Ni lazima tuamke na kukubali kuwa hili ni tatizo na kuwa wakweli kwamba vijana wetu wanafanya ngono na jinsi ya kutatua tatizo badala ya kufungia macho.
ushamba tu wa dada zetu hawa,mtu yuko tayari atembee na mzungu hata kama ni chizi ili awakoge wenzie tu.tunajidharaulisha sana tu
jamani mbona mnakuwa wakali kihivyo!
Sio kila anaeolewa na mzungu awe branded muhuni! kila mtu ana khiari ya kupenda anapotaka wala mapenzi hayachagui
tukemee watu kuolewa kwa kufata mali hata kama ni kwa mtu mweusi.
Sijamuona Mzungu mwenye hadhi ya Uzungu aliyemuoa mweusi. Na hata kama wamewaoa, mara nyingi wanakuwa wa ku passtime hadi warudi makwao. Ndo chache baina ya wazungu na weusi ni za kweli,