Wells
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 119
- 265
Huu ni ulimbukeni wa mapenzi sasa, kila kitu mpaka unamrefer Mahondaw. Unataka kutuaminisha huyu demu wako ni perfect kwa kwa kila kitu. Anaweza akawa ndio, lakini vitu vingine uwe unakausha. Inawezekana wewe ndio ukawa chanzo cha watu wengi kumtengenezea uzi humu wa kumzalilisha kama jamaa hapo juu alivyosema.