Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,306
Dah! umechambua vyema sana mkuu bila shaka wengi watanufaika na maelezo yako hivyo basi watanzania waendelee kununua hisa kwenye kampuni zilzoimalika ili kupunguza uwezekekano wa kupata hasara.Nimesoma nimeona wengi wa walioathirika walinunua hisa kama wananunua Karanga ama mazao, ndugu zangu ununuaji wa hisa sio wa kununua kama karanga, hatununui hisa kwa sababu tu shirika flan linauza hisa hapo utakua umekosea mfano Huyo aliyenunua hisa za Crdb mwaka juzi hakucheza vyema karata zake, kwa namna competition inavyoongezeka kila siku katika sekta ya kifedha na Crdb ilivyo ni bank ambayo kama ni ukuaji tunasema imefika maximum kwa hiyo ni ngumu kuwekeza kwenye bank kama hiyo ambayo haina ukuaji imestuck ni wazi utapiga hasara tu, ama unawekeza kwenye precision air kweli jaman then utegemee kupiga pesa??mbona hisa za acacia hazijashuka na wao ndio waathirika wakubwa wa policy za serikali ya sasa??ni kwa sababu still ni kampuni inayoweza kufanya biashara kubwa, mwingine anadanganya kwamba mpesa haipo Vodacom jaman muwe mnaomba hata prospectur mnazisoma basis, kila kitu kipo wazi, Vodacom biashara kubwa wanayofanya ni mpesa,data na voice ,na vyote hivyo wao ndio leading company, pia ukuaji wa sekta ya mawasiliano unaonyesha unakua mwaka Jana faida yao ilishuka so kwa sababu ya kukosa Wateja ni kwa sababu ya government regulation zilizoongezeka Kodi nyingi zilikua introduced kwa haya makampuni ya Simu,ukumbuke hata kwenye miamala ya fedha sasa Kodi kibao,pia hata mda wa maongozi kodi kibao,but pia haijawayumbisha sana still wanatengeza faida ya kutosha, tukumbuke pia Vodacom ndio leading kwenye biashara ya data na takwimu zinaonyesha mwakani kutakua na ongezeko kubwa la matumizi ya data maana ni watanzania wachache sana wanatumia matumizi ya data ndio maana kampuni za Simu zenyewe zinatuletea smartphone mpaka za elfu hamsini ili tu wafanye biashara ya data,na takwimu za tcra zinaonyesha ni Moja ya eneo lenye ukuaji katika sekta ya mawasiliano hata Mimi na wewe siku hizi tunasema ni bora ukose Chakula siku hizi lakini use na bundle, na ndio maana utaona siku hizi bei za vifurushi vya internet viko juu yote hii ni kutengeneza faida, kwangu Mimi Vodacom watafanya vyema na waliowekeza Vodacom hawatajuta,dividend policy yao ni kugawa asilimia 50 ya faida kwa wanahisa, na projection katika market Huyo anayesema kwamba Vodacom imepungua sio kweli Fanya utafiti tu Bado utagundua vodacom wataendelea kudominate market share katika sekta ya mawasiliano kwa muda mrefu zaidi maana HUDUMA zao ni at least ni bora,huwezi kulinganisha na Tigo ama Halotel still wataendelea kutengeneza faida ya kutosha