na ndio bei yake halisi.OpenAI CEO Sam Altman responds to Elon Musk's nonprofit buyout offer: "no thank you but we will buy twitter for $9.74 billion if you want."
Mwenye pesa pekee ndie atakaewiniElon si ana Xai yake, anataka chat GPT ya nini?
Naona Xai yake iko vizuri aendelee kuiboresha aache chat GPT iwe kivyake.
Najua Sam hatakubali Elon anunue Open AI.
Elon ni mbinafsi, yeye alipinga Mark Zuckerberg kuanzisha Thread kwamba Dunia itakua imehodhiwa na Mark, halafu yeye anataka amiliki AI zote? Haiwezekani.
Kama kunakamtu kajanja janja na kana tamaa ni elon musk.Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee.
OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman.
Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa.
============
CEO Elon Musk is making an offer to acquire the nonprofit piece of OpenAI for $97.4 billion, according to a report from The Wall Street Journal. Musk’s attorney was reported to have delivered the offer to OpenAI’s board of directors on Monday.
Soma zaidi hapa: Elon Musk-led investor group makes $97.4 billion offer to buy OpenAI’s nonprofit arm
Control of information.Elon anataka mitandao Iwe yake
Kwani Elon aliinunua Twitter kwa ela ngapiOpenAI CEO Sam Altman responds to Elon Musk's nonprofit buyout offer: "no thank you but we will buy twitter for $9.74 billion if you want."
Tungewekeza hata kwenye soka basi. Timu yetu ishinde kombe la dunia na kupewa dola milioni 45 wachezaji wapewe dola milioni 5 na kucover gharama za maandalizi, na arobaini zikajenge barabara97b ni zaidi hata ya GDP ya Tanzania, duh hizi teknolojia tujifunze na sisi tupate ofa kama hiyo.