Kundi la Wawekezaji wakiongozwa na Elon Musk wametoa ofa dola bilioni 97 kununua OpenAi

Nunua Toka UK

JF-Expert Member
Apr 17, 2023
294
577
Elon Musk pamoja na wawekezaji wengine wametoa ofa ya kununua OpenAi kwa dola bilioni 97 na ushee.

OpenAi ilianzishwa mwaka 2015 kama nonprofit na Sam Altman, Elon Musk na wengine. Lakini Elon Musk alijiondoa baadae na kuwa adui wa Altman.

Altman ndio CEO wa OpenAi kwa sasa.
============
CEO Elon Musk is making an offer to acquire the nonprofit piece of OpenAI for $97.4 billion, according to a report from The Wall Street Journal. Musk’s attorney was reported to have delivered the offer to OpenAI’s board of directors on Monday.

Soma zaidi hapa: Elon Musk-led investor group makes $97.4 billion offer to buy OpenAI’s nonprofit arm
 
Maono ya Mo Gawdat hapo awali aliwahi kuwa afisa mkuu wa biashara wa Google X na kuona jinsi AI inavyo nyumbulika kuteka kila kitu :

Mo Gawdat kwenye AI: Mustakabali wa AI na Jinsi Itakavyounda Ulimwengu Wetu

View: https://m.youtube.com/watch?v=HhcNrnNJY54

AI iko hapa, na inabadilika haraka kuliko tulivyowahi kufikiria. Je, tunabadilikaje wakati sheria za mchezo zinabadilika chini ya nyanyo zetu? Je, wakati ujao ni wa kila kitu tele, au tunaelekea kwenye msiba? 🌍 Je, tunakosa alama za tahadhari tena? Ulimwengu unabadilika haraka, haraka kuliko tunavyoweza kuendelea.

AI is here, and it’s evolving faster than we ever imagined. How do we adapt when the rules of the game are shifting under our feet? Is the future one of abundance, or are we heading toward disaster?🌍 Are we missing the warning signs again? The
 
Maono ya Mo Gawdat hapo awali aliwahi kuwa afisa mkuu wa biashara wa Google X na kuona jinsi AI inavyo nyumbulika kuteka kila kitu :

View: https://m.youtube.com/watch?v=HhcNrnNJY54
AI is here, and it’s evolving faster than we ever imagined. How do we adapt when the rules of the game are shifting under our feet? Is the future one of abundance, or are we heading toward disaster?🌍 Are we missing the warning signs again? The

Robot la Nape
 
Elon si ana Xai yake, anataka chat GPT ya nini?

Naona Xai yake iko vizuri aendelee kuiboresha aache chat GPT iwe kivyake.

Najua Sam hatakubali Elon anunue Open AI.

Elon ni mbinafsi, yeye alipinga Mark Zuckerberg kuanzisha Thread kwamba Dunia itakua imehodhiwa na Mark, halafu yeye anataka amiliki AI zote? Haiwezekani.
 
Hapo watajua mambo ya mtu mengi tu, Hata kuzuia mengi wakitaka. Angeofa kununua kabla ya haya na nafasi yake ya sasa wengi wangeona lolote na liwe... Ila kwa sasa 😅😅😅
 
97b ni zaidi hata ya GDP ya Tanzania, duh hizi teknolojia tujifunze na sisi tupate ofa kama hiyo.
Tuanzie wapi kujifunza ndugu yangu?! sisi tunaloliweza ni ufisadi tu bila kuzijali taaluma za watu, tunge kianza kukinyayua kilimo kwanza.
 
Back
Top Bottom