Kuna watumishi walikwepa kupeleka vyeti vya sekondari wamepona

Serikali itoe majina ya watumishi ambao hawakutoa ushirikiano wakati wa kuombwa vyeti. Kuna watu ambao hawakupeleka vyeti vya sekondari na wanafahamika kukosa vyeti husika hawamo kwenye list. Kuna hadi waganga wakuu wa mikoa ambao baadhi walikuwa Rural Medical Aid lakini wamepona katika kadhia hii kwa sababu hawakuonesha vyeti vyao pale walivyotakiwa.

Una roho mbaya sana wewe kama unatokea koromije
 
Serikali itoe majina ya watumishi ambao hawakutoa ushirikiano wakati wa kuombwa vyeti. Kuna watu ambao hawakupeleka vyeti vya sekondari na wanafahamika kukosa vyeti husika hawamo kwenye list. Kuna hadi waganga wakuu wa mikoa ambao baadhi walikuwa Rural Medical Aid lakini wamepona katika kadhia hii kwa sababu hawakuonesha vyeti vyao pale walivyotakiwa.
Wapo wengi waliombwa vyeti hawakupeleka wamepona,waliopeleka vya kuchonga mitaani ndio wameshikwa,sijui imekaaje hii?
 
Serikali itoe majina ya watumishi ambao hawakutoa ushirikiano wakati wa kuombwa vyeti. Kuna watu ambao hawakupeleka vyeti vya sekondari na wanafahamika kukosa vyeti husika hawamo kwenye list. Kuna hadi waganga wakuu wa mikoa ambao baadhi walikuwa Rural Medical Aid lakini wamepona katika kadhia hii kwa sababu hawakuonesha vyeti vyao pale walivyotakiwa.

kilichofanyika mwajiri aliscan copy ya vyeti vilivyo kwenye mafaili ya watumishi na kutuma softcopy NECTA. Kama mwajiri aliamua kwa maksudi kutopeleka cheki cha mtumishi umesave
 
Jembe na Nyundo acha unoko, usitafute sifa kwani wakitolewa Kazini wewe unapata faida "ACHA HIZO WEWE MUNGU ANAKUONA"
 
Nchi ya ujanja ujanja. Yani watu karibu elfu 10 wanatumia vyeti fake. Bila woga. Hatari sana. Bado ujajumlisha walio private sector na maeneo ambayo hayajakaguliwa. Mi nadhani itungwe sheria ya waajiri kupeleka vyeti vya waajiriwa wao kukaguliwa. Hui ni ugonjwa.
Kabisa kabisa, na tunawatetea na kuona sawa kabisa, no wonder hata watoto wetu wanashangilia ufisadi na maovu aise..
 
Serikali itoe majina ya watumishi ambao hawakutoa ushirikiano wakati wa kuombwa vyeti. Kuna watu ambao hawakupeleka vyeti vya sekondari na wanafahamika kukosa vyeti husika hawamo kwenye list. Kuna hadi waganga wakuu wa mikoa ambao baadhi walikuwa Rural Medical Aid lakini wamepona katika kadhia hii kwa sababu hawakuonesha vyeti vyao pale walivyotakiwa.
Alisema kama we std 7 sema hivo, ustake ujiko
 
Dogo utasababisha watu wa rest in peace... Hao ni wengi kuliko wa vyeti feki... Utakuwa msiba wa Taifa..
 
Kwahiyo waliojulikana kua wanatumia cheti kimoja watu wawili walitambuliwa na utumishi sio necta?
 
Mtoa post nahis katumbuliwa kwa kuwa na cheti feki alichofoji sasa kaona wenzake wamenusurika kaamua kuja kumalizia huku hasira zake..kwa kukusaidia tu zamani course ya rural medica aid haikuhitaji uwe na cheti cha form 4 hivyo basi sion mantiki kwa kinachokuliza kama sio wivu wa kike...kwa kukushauri tu njoo tupambane mtaani ulidhani kadi ya chama utaitumia kama ATM card..hahaaa umefeli mkuu jipange its not too late
 
Nchi ya ujanja ujanja. Yani watu karibu elfu 10 wanatumia vyeti fake. Bila woga. Hatari sana. Bado ujajumlisha walio private sector na maeneo ambayo hayajakaguliwa. Mi nadhani itungwe sheria ya waajiri kupeleka vyeti vya waajiriwa wao kukaguliwa. Hui ni ugonjwa.
Nani wa kutunga hiyo sheria? wakati mwingine ufikirie kabla hujaongea.
 
Back
Top Bottom