36yrs with 2kids.Una umri gani?
Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA
Ngoja siku upotee wewe ndio utajua anafanya nini USA
Kwa masikitiko makubwa naona aina ya watanzania tulionao hivi sasa. Mods, nashauri mjitahidi kuavoid jf kugeuzwa kijiwe cha umbea na porojo za instagram. Scraps kama hizi muwe mnazisafisha haraka ili waendelee kuongea haya mambo yao huko huko insta.Awe ana Kazi au hana Kazi ana haki ya Kuishi kama Wengine. Pili as Long as Simpelekei Maziwa, Mkate na Sangara mezani kwake anavyoyamudu maisha yake mimi na wewe yanatuhusu nini?
Mjinga Sana huyu mfuasi WA Lumumba,Nafanya nini USA, Naishi nafanya Shughuli zangu na Kutunza Familia yangu, Hivi Unathubutuje kumhoji mtu kwanini anaishi anapoishi? So should I get a permission from you now as to where I should live? Hata wewe huoni Usemi wako unahitaji marekebisho?
Hahah mkuu hapo ndio humuoni tena, wanatumwaa kuja kupinga wakati kichwa empty.Umelazimishwa kusoma? Haya tujadili yenye Tija, wizara ya kilimo kupewa fungu lake lote la bajeti huku Sekta ya usafiri WA anga ikipewa 2.2bil je Ni Sawa? Jadili.
Mhurumie maana hata ye hajapenda ila yuko kibaruani, buku 5jadili hilo.
No sio Kila anayeishi USA anastress ni wasio na Mipango Niko US for 17 Miaka 7 hivi ya mwanzo Nilisota sana Lakini kwa sala na Mipango Mizuri sasa Ni Mkondorasi wa Umeme tena Wa Industrial scope sio residencial au commercial! Ni umeme wa Usongo mkubwa na Mashine za Viwanda na Mtambo mikubwa! Na Waliosajiliwa na Kuwa certified kwa Kiwango cha Masters ni wa Kuhesabu. Mi kazi chini ya $2000 kwa siku mbili hata simu usinipigie!Kwahiyo unaringia kuishi Marekani sababu ukiwa umekufa kwa stress za boksi na ulevi imaginary assassin wako kutoka Tanzania atakamatwa hata kwa $100,000?
Kwan wew unafanya kazi gan tz.unatuuliza cc iliujue ikusaidie nin sasa?Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA
Yule si mwanamke ana duka lake anauzaHakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA
Hakuna anaetaka kumuua huyu binti. Anamatukio yake amekuwa anayafanya huko US yanayomfanya ahisi iko siku anaweza akapigwa shaba na ma gangstars, amekata tamaa kwakuwa anahakika na aina ya kifo atakachokufa nacho. Anatumia serikali ya Tz kama scape goat. Hivi niwaulize, huyu binti anafanya shughuli gani USA ili kuendesha maisha yake??? anafanya kazi gani USA
Mtanzania aliyemuua Mtoto wa Dada yake akidhani atachoropoka!
1) Ukitafuta Habari za Mtu Facebook na Akafa au Kupotea Kiutata Utatafutwa
2) Simu yako ikionekana Katika Mlingoti wa simu Karibu na aliyepotea au kufa Kiaina Utapatikana
3) Mtanzania Yoyote akipotea au Akifa Kiaina na Ukajulikana Uliwasiliana au Kutumiwa Pesa Kiasi Kikubwa na Kiongozi wa Tanzania Utapatikana
4) Computer yako au simu yako Ikiwa mojawapo ya aliyesearch address ya Mtanzania aliyepotea Au Kufa Kiaina Utapatikana
5) ukisafiri tuseme Texas kwenda Florida halafu Mtu uliyetafuta Address yake Florida akapotea au kudhuriwa utapatikana!
Wanaomtisha Mange na TL Marandu Marekani sio SA, ili Wafanye Kama walivyomfanya Karegeya na Nyamwassa! Patachimbika na Hapatawatosha! Mtakuja kuchukuliwa kama Kuku hapo TZ na hakuna atakayekohoa,na Kama Uko US unashawishiwa ati Umdhuru Mtu kwa Niaba ya watu Fulani, wakulipe, Unatafuta Kunyongwa Tu.
Huamini Fuatilia Kisa Cha Mwivano Kupasa! Marekani hata Kama Ukiua Changudoa, Watatumia hata dolar 100,000,000 Wakupate! Walisafirisha Wazazi wa Muvano Kupaza Kutoka Morogoro kuja Kutambua Fuvu la binti yao. Cheza na Eagles wewe! " Nasema Mange Chapa Kazi"
Hawa jamaa wajinga Sana, yaani uchama umewafanya wamuone Roma Hana thamani Leo.Hahah mkuu hapo ndio humuoni tena, wanatumwaa kuja kupinga wakati kichwa empty.