Kuna watu ustaarabu ni sifuri, unakaribishwa chakula Una agiza zaidi ya aliyekukaribisha

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
770
1,898
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni , unashangaa anaagiza vitu vizito vizito ! Tena zaidi hata unavyokula , halafu anamwambia muhudumu ongeza 😀 , ama kweli kuna watu mishipa ya aibu hawana
 
Hii tabia mbovu sana,kuna jamaa nilipita mahali nile chips yai tu nisepe.
Nikamkuta pale nikaona poa jamaa kaanza kama anakomoa vile.
Nimeagiza kiepe yai.
Ye kabeba firigisi,kuku na kiepe yai.huku safari za kutosha kaagiza.
Mwisho bill inakuja anasema mpe boss hapo.
Duh nikatoa nje ajilipie kanga'ngana.
Nikalipia lilivyokua fala badae linauliza tena asa unaniachaje?
Nikaona huyu mtu sina miadi nae,lakini yeye ndio ananipuna kila kitu.
Aliniuzi sana
 
Siku ingine jiongeze kidogo.Unamwambia..."hapa nina elfu mbili ya ziada.Unaweza kujiagizia upendacho nitalipa kwa hii elfu mbili.Karibu"...!Umuone akili zake zimekaaje.
 
Hii tabia mbovu sana,kuna jamaa nilipita mahali nile chips yai tu nisepe.
Nikamkuta pale nikaona poa jamaa kaanza kama anakomoa vile.
Nimeagiza kiepe yai.
Ye kabeba firigisi,kuku na kiepe yai.huku safari za kutosha kaagiza.
Mwisho bill inakuja anasema mpe boss hapo.
Duh nikatoa nje ajilipie kanga'ngana.
Nikalipia lilivyokua fala badae linauliza tena asa unaniachaje?
Nikaona huyu mtu sina miadi nae,lakini yeye ndio ananipuna kila kitu.
Aliniuzi sana
Alikuwa kila akikuangalia anakuona kama Kikwete vile.🤣🤣
 
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni , unashangaa anaagiza vitu vizito vizito ! Tena zaidi hata unavyokula , halafu anamwambia muhudumu ongeza 😀 , ama kweli kuna watu mishipa ya aibu hawana
Hee! Sasa si umwambie mapema aagize kisichozidi bei gani! 😲
 
Back
Top Bottom