Kuna wanawake kazi sana kuishi nao

Huyo wa kwanza anaye sema we malayer uko wapi ni demu wangu kabisa na muda mwingine ananiita chizi, ningempigaga chini ila shida ana hulka zote za kike , anajua majukumu yake kama mwanamke na ni wife material kabisa sijui kwa vile kakulia chuga mitaa migumu.
Ishinae kwakumvumilia
 
Kuna wanawake kazi kuishinao hujapokea simu kwa wakati utaona meseji inatumwa we Malaya uko wapi heee! Hajali upo kwenye hali gani pengine Una dripu hospitali

Ukimkuta aliyestarabika mwenye mindset ya kizungu wala hana panic utaona text inaingia baby are you okay ? , i just want to know if your safe PSE let me know.

Sikuhizi kuchungana kumezidi unakuta mpenzi wako kakuwekea GPS kwenye gari bila we kujua sasa jichanganye useme uwongo.
Hao ndio wezi namba moja
 
Huwezi kumchunga binadamu mwenye akili zake timamu,mapenzi hayalazimishwi,mapenzi ni hisia,kumfuatilia sana mpenzi wako ni dalili ya kutokujiamini,

Ukiona dalili za kuchitiwa unapiga chini faster kabla ya jua kuchomoza.
😂😂yaan wewe unasafari ndefu mno....ni kama unakaza mno..kuwa kawaida bhana
 
Kuna wanawake kazi kuishinao hujapokea simu kwa wakati utaona meseji inatumwa we Malaya uko wapi heee! Hajali upo kwenye hali gani pengine Una dripu hospitali

Ukimkuta aliyestarabika mwenye mindset ya kizungu wala hana panic utaona text inaingia baby are you okay ? , i just want to know if your safe PSE let me know.

Sikuhizi kuchungana kumezidi unakuta mpenzi wako kakuwekea GPS kwenye gari bila we kujua sasa jichanganye useme uwongo.
Mimi aweke gps wala haniumizi kichwa atatema roho yake mapema
 
Back
Top Bottom