Kuna wakati huwa tunawamiss ma X wetu, tunajikazaga tu sababu hakuna jinsi

Habari za Asubuhi wana MMU wenzangu,
Ni Ukweli usiopingika kuna wakati huwa Tunawamiss ma x wetu,ila Tunajikaza tu , Ila moyoni huwa tunalitambuwa hili,
Wakati mwingine wanatuchia mpengo yanayoshindikana kuzibika japo sio wote,Ila tunachofanya ni kujikaza tu , na kujipa moyo acha maisha yaendelee.

Tumejikuta tunawakumbuka watu kutokana na mambo yao mbali mbali ikiwemo vituko vyao,kila mara vilivyokuwa vinatufanya tunafurahi mbali na maudhi mbali mbali tuliokuwa tunayapitia,
Ila leo tumejikuta tunawamiss wale ma X kutokana na hawa tulionao Hawana ,

Ila hatuna jinsi inabidi tu maisha yaendelee..

ila kaa ukijuwa kama ww ni X wa mtu fulani,
jua kuna Sehemu X wako ana kumiss ila Hana jinsi
Mnapokua ktk.mahusiano kuna athari inaachwa na x wako inaweza kua negative au positive. Vitu ambavyo mlikua mna share km nyimbo alizoku anapenda kusikiliza au mlizokua mkisikiliza ukisikia unakumbuka na unamiss, places u used to go, njia mlizokua mnapita, sex, arguments, kwakua kila mtu ni unique kuna vitu huwezi kuvipata kwa mwengine so lazma utajikuta unamis. Lakn ndo u can't turn the page. Kiukweli sometimes unapata hisia kua that x was the best choice that u ever made. Kuna watu tulikua nao b4 marriage lakin u still mis em and want em lakin ndo hivyo. Dah acha tu
 
Huu huwa ni uongo uliokomaa. Hata kama utaamua kufunga mlango,lkn kichwani na moyoni mwako lazima bado unamkubuka,Unless kama haujawahi kupenda na kupendwa kwa dhati.
ni kweli kabisa
 
Kabisa huwa na mmiss sana yule sana sana namiss K yake ilivyotamu mtoto anajua mapenzi yule.......
 
kukumbuka kupo bora umejisemea ukweli mkuu, huwezi kuacha kumkumbuka mtu ambaye ulimweka katika ratiba zako hata kama alikuwa na mabaya 99 utalikumbuka jema lake moja.
Ni kweli kabisa ni jambo ambalo haliwezekani kwa mwanadamu yeyote akenda mbele bila kuangalia nyuma hakuna mtu huyo
 
For sure ktk mahusiano niyopitia nimegundua ma x wote hawafanani kwa umbo, tabia, matendo na muonekano.
So kumiss x inatokea sio lazima ummiss kwa mazuri tu.
yah ni kweli na hawawezekani X wako wote wakawa wabaya wapo hata ambao ww uliwakosea au kuwaacha na kuna wakati unafika kama mwanadamu unajutua
 
Haikuwahi kunitokea,ila yeye naona anapiga simu sana na sitaki anipigie.
Ni kwa kiwango cha Juu sn yule dada alininyanyasa kimapenzi ni balaa.
Sasa anapata shida baada ya fala mie kusonga mbele na maisha yng.
pole sana mkuu ,huwa mtu anakwenda na baadae hujirudi na kujutia mengi maovu alokutendea
 
Me sijui nikoje nikishakutoa kichwani naweza kuwasiliana na wewe ukajua Nina hisia kumbe zimeshapotea kabisa nakuchukulia kama kaka tu.but huwa simchukii x wangu Nina roho ya kusamehe na kusahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom