Kuna umuhimu gani wa kufanya skimming kwenye nyumba ?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
2,349
4,615
Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba.

Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi.

Nipe mtazamo wako.
 
Skimming inapunguza matumizi makubwa ya rangi katika kuta, ukipiga rangi moja kwa moja bila kufanya skimming, ile rangi inakuwa inafyozwa na hizo kuta hivyo utatumia rangi nyingi na pia haitokuwa na mvuto ukilinganisha na mtu aliyetanguliza skimming

Kwa mahitaji ya ramani, makadirio au ushauri tuwasiliane +255(zero)624068809
 
Rangi nyeupe ikifyonzwa na ukuta then itakua haionekani Tena?
 
asante mkuu kwa ushauri na ayo mawasiliano
 
Rangi nyeupe ikifyonzwa na ukuta then itakua haionekani Tena?
Najibu kwa uzoefu tu ila siyo fundi.

1.Ukipiga rangi hasa ya maji moja kwa moja, utapaka koti nyingi ili rangi ionekane mana itakuwa inafyonzwa na ukuta.

2. Pia, skiming inasaidia kuufanya ukuta uwe laini, hivyo ukipaka rangi ya maji ukuta unapendeza, vile vijishimo vya mchanga havionekani.
 
Back
Top Bottom