Kuna ulazima wa kuvaa sare Msibani?

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,230
2,777
Moja kwa moja.

Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?

Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?

Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani, hivi kweli lwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?

Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe. Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.

Kwa hilo Mungu atamlipia.
 
Misiba ni fursa..hizo sare ni Biashara ya watu ....siku hizi Msiba umerasimishwa..
1.Chakula..ataitwa mpishi analipwa
2. Mapambo ataitwa anaye atalipwa
3.sare zinanunuliwa na kuuzwa kwa wahudhuriaji msibani
4.Tshirts zinaprintiwa ,printer atalipwa
5..
6..
 
Moja kwa Moja....ikiwa kwamfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana....unaweza kuvaa sare Msibani? Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?.....Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani.....hivi kwl Kwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?......Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe.......Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.....Kwa Hilo Mungu atamlipia.
mwanadamu ana sherehe tatu katika maisha yake,

1. kuzaliwa(hushangiliwa na kila mtu)

2 Ndoa(hii unaweza usiipitie au ukaipitia)

3. Kufa (sherehe ya mwisho ya kuagwa unapokuwa umeondoka)

Kwa sababu zote ni sherehe hapo suala la sare linategemea na wanaokusherehekea, wakiamua sawa, wasipoamua sawa
 
Umeenda mbali sana ukasahau kuwa hujawahi ku -post ka picha ka baba yako akingali hai lkn akifa utajazia watu saver za simu zao kwa kupost picha za marehemu. Kwa nini usubiri mpaka afariki ndio ufanye hivyo?

Kwa nini hizo flana unazo chapisha picha za marehemu usifanye hivyo akingali hai uzivaee huku ukiwa naye kitaa,umfuate kwenye kijiwe cha kucheza bao na wenzake ukiwa umeivaa?
 
Moja kwa moja.

Ikiwa kwa mfano umefiwa na mtoto wako ama mtu mwingine yeyote wa karibu sana unaweza kuvaa sare Msibani?

Muda wa kuwazua nivae au tuvae Sare gani hivi huwa unatokea wapi ikiwa umeumizwa moyo kupitiliza?

Wanawake wanakwenda na kusuka kabisa eti nasuka nywele za kwenda Msibani, hivi kweli lwa msiba uliokugusa moyo inawezekana?

Kwakweli sioni mantiki kama ipo tafadhali nijuzwe. Nimpongeze msanii Ally Kiba huwa haendi Msibani kufanya show off.

Kwa hilo Mungu atamlipia.
WANACCM WANAVAA MPAKA KWENYE KUMBI ZA ARUSI
 
mwanadamu ana sherehe tatu katika maisha yake,

1. kuzaliwa(hushangiliwa na kila mtu)

2 Ndoa(hii unaweza usiipitie au ukaipitia)

3. Kufa (sherehe ya mwisho ya kuagwa unapokuwa umeondoka)

Kwa sababu zote ni sherehe hapo suala la sare linategemea na wanaokusherehekea, wakiamua sawa, wasipoamua sawa
Yaani Mkuu nimezungumzia mfano umefiwa na mtt wewe utakuwa na hiyo mood?
 
Ni fasheni mpya, kuna nchi fulani kusini mwa afrika wenyewe msibani wanavaa suti nyeusi. Hawa wabongo wao walianza kuvaa tisheti zenye picha ya marehemu wanafamilia tu. Huu utamaduni ni wa kuiga toka tamaduni za nje
 
Misiba ni fursa..hizo sare ni Biashara ya watu ....siku hizi Msiba umerasimishwa..
1.Chakula..ataitwa mpishi analipwa
2. Mapambo ataitwa anaye atalipwa
3.sare zinanunuliwa na kuuzwa kwa wahudhuriaji msibani
4.Tshirts zinaprintiwa ,printer atalipwa
5..
6..
mna mambo mengi sana au sababu n maokoto
 
Back
Top Bottom