Kuna ukweli juu ya wizi wa nguvu za giza wa kundi la zungu Arusha?

Duuuuhh aiseee mbona sasa mnawafaham kwa nini msiwatie nguvuni??
ni mazingira ya kazi zao lazima kuwa na evidence ushahidi ameshachukua umebaki na ushahidi wa hasira kuibiwa kakuibia elfu ishirini anaapa miungu yote kuwa hajakuibia na anatoa pesa nyingi Zaidi ya alizoiba ,ni kuchukua tahadhari uwepo kwenye mikusanyiko wa watu angalizo ni kuwa wizi una stage walianza kidogo sasa wana usafiri ,ni jukumu la dola kuona matumizi ya huo usafir unatumikaje na kuchukua hatua
 
Hapo ndo watu wa chuga huwa nawaona maboya sana, yaani mtu au kikundi kinasifika na kitambulika kwa kuwa wazee wa ndole (wadokozi wa mifukoni) eti kuanzia miaka ya 90 mpaka leo,
Yaani mnawafuga tu hao jibwa koko eti "mzunguuuu"
Na siku wakikamtwa mitandao inajaa habari "bilionea wa Arusha akamatwa na polisi baada ya kuwasumbua kuanzia miaka ya 90 mpaka leo 2017." Kumbe wapiga ndole waliokubuhuu
Kwahiyo watu wa arachuga wanapigwa madolee toka miaka ya 90
 
Ndo huyo huyo wako wanne wanakuwa na Gari aina ya Noah na Escudo

Wakamatwe ili iweje wakati wako peace wnachokipata wanawagawia msela? ? Na siku zote wanawaibia wanataka kisoro kwa hiyo sio kosa Lao ni kosa lako kukaa kisoro ukaibiwa! ! So wajanja huwa wanapotezea huwezi wekea bero masela kisa uboya wako
Haha, huyo jamaa ni mzoefu sana, akimaliza kazi, ijioni unamwona akifanya shoping kwa ajili ya familia.
 
Duuuuhh aiseee mbona sasa mnawafaham kwa nini msiwatie nguvuni??
utafiti unaendelea na tushirikishe wengine kwenye utafiti huu mfano ,mazingira ya kuiba hutumia nguvu gani ,na waganga wa kienyeji wanaoshirikiana nao kuwapa kinga ,je matumizi ya gari zao hutumikaje , na je ajira hii inatambulika serikalini? ,na kama inatambulika ni kodi kiasi gani wamelipa? ,leseni wanazo? ,mi naona utafiti uendelee naona mshana unanyosha kidole karibu@mshana_jr
 
Duuuuhh aiseee mbona sasa mnawafaham kwa nini msiwatie nguvuni??
utafiti unaendelea ila una gharama zake lazima ukae nao wakusachi ulie.[HASHTAG]#Bujibuji[/HASHTAG] [HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG] tusaidiane kwa hili.
 
Hapo ndo watu wa chuga huwa nawaona maboya sana, yaani mtu au kikundi kinasifika na kitambulika kwa kuwa wazee wa ndole (wadokozi wa mifukoni) eti kuanzia miaka ya 90 mpaka leo,
Yaani mnawafuga tu hao jibwa koko eti "mzunguuuu"
Na siku wakikamtwa mitandao inajaa habari "bilionea wa Arusha akamatwa na polisi baada ya kuwasumbua kuanzia miaka ya 90 mpaka leo 2017." Kumbe wapiga ndole waliokubuhuu
Kuna kaukweli, Arusha acheni uboya. Hahaha Halafu Arusha na moshi kila mtu huwa ni bilionea.ukidrive fortuner tu Tatari we bilionea...... hahahahaha
 
Ni chuki tu kina mzunguu ni pick pockets toka miaka ya mwanzo ya 90 hadi leo hakuna uchawi bali wana uzoefu wa kutosha. .. hao wanaowalalamikia kina mzunguu ni wageni Arusha
Skuhiz wameshtukiwa na stail ya ndole na mbuchuchu wamehamiaa kwenye kuzimisha watu
 
huyu ndiyo yule jamaa mmoja mweupe anavaa cheni za silver na bracelet?
Yaman na cap na mwenzake anaitwa hajii. Kuna kizee sikijui jina kina beba mfuko mweusi wenye galon awezi kuliacha mahali. Wakipiga ndole wakashtukiwa wanakuwa mbogo kwelii wakibananishwa haswaaa utashangaa Voda fasta haooo wanawatoa eneo latukio baada ya mudaa unapishana nao wanadunda
 
hawa jamaa wapo ni wazee wa ndole mfukoni wana mbinu nyingi za makoti makubwa ,koti hili hujifanya ana kitu anatafuta au endapo ni kwenye dala dala hujifanyisha kama vile joto limemzidi na kukufunika usione kiachoendelea huku ukiwa umeweka msisitizo kuwa mwenzako anataabika na joto kumbe anakusachi mfuko mmoja kwenda mwingine .mara nyingine hutumiia mbinu ya kukuzuia wakati unashuka kwenye daladala yeye akiwa chini huingiza mkono chini ya siti pale mlangoni kama vile anatoa mzigo uliokwama wewe ukiwa uko ndani ya daladala mmeshasimama tayari kushuka chini foleni haendi kumbe unaibiwa .katika utafiti wangu jamaa hawa wanapatikana maeneo ya kwa mrombo, barabara ya shamsi karibu na dr msemo ,hupenda kutembea wanne au Zaidi ,na hupendelea gari za njiro ,usa na moshi pia gari za kwenda mjohoroni.na pia wana gari yao aina ya noa yenye rangi ya blue na silver ambayo ndio huyu mzungu hutumia ,amejenga maeneo ya bonsite .
kuhusu kesi zao polisi .mazingira ya kazi zao huwa ni magumu kumtia hatiani ,kwani anakuwa na laki mfukoni halafu anaiba . 50000 ukimkamata anatoa laki na kukuonyesha hivyo kujenga mazingira ya kuwa wanatumia dawa au nguvu za giza .kuhusu vipigo wanakutana navyo mara nyingi hivyo wana jihami wanavaa vizuri ,lugha wanayotumia ndani ya dala dala ni nyepesi utasikia anapiga simu za kuuliza biashara zake za fuso, wajijhi wao ni watu wa miaka ya 30-50 . mavazi hujigawa kuna ustadhi huvaa kiustadhi kanzu safi na wanaobaki huvaa kawaida na makoti mikononi . pia hupenda kutumia bahasha za kubwa kwa ajili ya kuzuia abiria wanaposachi upande wa kulia bahasha ataishika na mkono wa kushoto ,akikuta mfuko anaosachi hauna hela au simu atasingizia kuwa kuwa anajisikia vibaya umpishe akae upande wa pili .ushirikiano kufanikisha wizi huu huufanya kwa kumshirikisha dereva wa gari husika na konda na wakishafanisha hushuka popote na mara nyingi hawalipi nauli au watalipa nusu ..
Tasha kajenga sombetin gorofa moja ana gari aina ya nhoa na scania 113 yakufatia mazao mshamban kwake analima huko mang'ola na tanga. Ni braza smart sanaa mpolee anaongea taratibu anahudhuria church vibaya mno. Gari yake anatoka nayo nyumban anaiacha osterbay anazama kwenye kidalaa kusanyaa
 
hii ndio faida ya kuwa na mitandao ya kijamii lililo gizani kesho linaanikwa juani ,tuisaidie jamii kuwatambua watu hawa kwani naamini wapo pia mikoa mingine kwa staili tofauti tofauti .wanauliza kuwa mbona wanajulikana waswahili wanasema hakuna lisilo na mwisho kila kitu kina mwisho wake tusubiri wakati utatuambia.
 
Hu
hawa jamaa wapo ni wazee wa ndole mfukoni wana mbinu nyingi za makoti makubwa ,koti hili hujifanya ana kitu anatafuta au endapo ni kwenye dala dala hujifanyisha kama vile joto limemzidi na kukufunika usione kiachoendelea huku ukiwa umeweka msisitizo kuwa mwenzako anataabika na joto kumbe anakusachi mfuko mmoja kwenda mwingine .mara nyingine hutumiia mbinu ya kukuzuia wakati unashuka kwenye daladala yeye akiwa chini huingiza mkono chini ya siti pale mlangoni kama vile anatoa mzigo uliokwama wewe ukiwa uko ndani ya daladala mmeshasimama tayari kushuka chini foleni haendi kumbe unaibiwa .katika utafiti wangu jamaa hawa wanapatikana maeneo ya kwa mrombo, barabara ya shamsi karibu na dr msemo ,hupenda kutembea wanne au Zaidi ,na hupendelea gari za njiro ,usa na moshi pia gari za kwenda mjohoroni.na pia wana gari yao aina ya noa yenye rangi ya blue na silver ambayo ndio huyu mzungu hutumia ,amejenga maeneo ya bonsite .
kuhusu kesi zao polisi .mazingira ya kazi zao huwa ni magumu kumtia hatiani ,kwani anakuwa na laki mfukoni halafu anaiba . 50000 ukimkamata anatoa laki na kukuonyesha hivyo kujenga mazingira ya kuwa wanatumia dawa au nguvu za giza .kuhusu vipigo wanakutana navyo mara nyingi hivyo wana jihami wanavaa vizuri ,lugha wanayotumia ndani ya dala dala ni nyepesi utasikia anapiga simu za kuuliza biashara zake za fuso, wajijhi wao ni watu wa miaka ya 30-50 . mavazi hujigawa kuna ustadhi huvaa kiustadhi kanzu safi na wanaobaki huvaa kawaida na makoti mikononi . pia hupenda kutumia bahasha za kubwa kwa ajili ya kuzuia abiria wanaposachi upande wa kulia bahasha ataishika na mkono wa kushoto ,akikuta mfuko anaosachi hauna hela au simu atasingizia kuwa kuwa anajisikia vibaya umpishe akae upande wa pili .ushirikiano kufanikisha wizi huu huufanya kwa kumshirikisha dereva wa gari husika na konda na wakishafanisha hushuka popote na mara nyingi hawalipi nauli au watalipa nusu ..
Huyo mzunguu anakaa sombetini jirani kabisa na shule ya Imani,hiyo Noah haitumii sana siku hizi,wife wake ndo kaikamatia siku hizi.Ngumu sana kupata picha yake,haangalii mtu usoni
 
naamini watu wamepata picha halisi ya zile meseji zilizosambaa kuhusiana na watu hawa.
 
hii ndio faida ya kuwa na mitandao ya kijamii lililo gizani kesho linaanikwa juani ,tuisaidie jamii kuwatambua watu hawa kwani naamini wapo pia mikoa mingine kwa staili tofauti tofauti .wanauliza kuwa mbona wanajulikana waswahili wanasema hakuna lisilo na mwisho kila kitu kina mwisho wake tusubiri wakati utatuambia.
Tasha amekaa jelaa sanaa kuna kipindi alitorokea mwanza ikazushwa kauwawa kakaa sana uko akaharibu akarud tenaa ukoo. Nimzoefu alafu ukimuona huwez kumdhania jirani yetu kabisa kitaa
 
Back
Top Bottom