Kuna Tatizo gani benki ya CRDB?

Eti unaenda kukopa halafu utoe kitu kidogo kwa loan officer. Sifanyi huo ujinga hata siku moja. Biashara kuu ya benki ni kukopesha. Mkopaji ni mteja muhimu sana kwa benki. Tusiendekeze kutoa hata senti kwa loan officers, hiyo ni kazi yao walipwa mishahara na marupurupu
Upo Kama mimi
 
Benki ya kifala sana hii kwa sasa, wapo na huduma yao ya e-banking wanahimiza watu kujiunga ila bado wako zama za mawe hawa jamaa. Wiki jana nilitoka nje ya nchi kidogo nikataka kutuma chochote kwa familia hii "system"yao inagoma haitoi password, kutafta msaada kwao zaidi ya wiki mbili hakuna solution wafanyakazi hawajielewi mpaka mameneja wao kwenye hiki kitengo cha e-banking, non-proffessional kabisa sijui wanawaokota wapi. Well, safari bado ni ndefu.
Mimi nimeamua kuachana na posi yao siwezi Kuwa mtumwa wao yaani unafanya muamala karibu 400 kwa mwezi unachoambulia ni cha hivyo kabisa.
 
Benki ya kifala sana hii kwa sasa, wapo na huduma yao ya e-banking wanahimiza watu kujiunga ila bado wako zama za mawe hawa jamaa. Wiki jana nilitoka nje ya nchi kidogo nikataka kutuma chochote kwa familia hii "system"yao inagoma haitoi password, kutafta msaada kwao zaidi ya wiki mbili hakuna solution wafanyakazi hawajielewi mpaka mameneja wao kwenye hiki kitengo cha e-banking, non-proffessional kabisa sijui wanawaokota wapi. Well, safari bado ni ndefu.
Mkuu mbona Kuna bank nzuri zenye international exposure Kama AbSa bank ila watu mnang'ang'ania hizo saccos maana sion Kama Zina hadhi ya kuitwa bank.
 
sio hapa tu sasa hivi Mikopo CRDB hawatoi kama ilivyokuwa mwanzo na kwa Wafanyabiashara na wajasiliamali ndio kabisa.
CRDB kuna matatizo ya kifedha ni miezi karibu 5 sasa-inakwenda kufilisika hii Bank.

Mkui hamia Bank nyingine.
Benki nyingi zitafilisika kwani kwa sasa wote wanapigania kudhibiti akaunti za TRA zaidi ambao pesa zoa hazikopesheki kwa wateja wengine.Angalau hizi akaunti za TRA zinawafikisha mahesabu ya kubaki na kiwango cha uhai kwa mujibu wa BOT.
 
Tulikubaliana kuwa huduma za kibenki bila longolongo nenda ABSA BANK mkopo ndani ya masaa 24 kwa riba ya 15%,hakuna haja ya kuhamisha mshahara kwani pesa yako ya mkopo utaingiziwa kwenye account unayopitishia mshahara kwenye benki yako.

Hao CDRB wana liquidity issue ila hawataki kuwa wawazi and bad enough wateja wakienda kuchukua settlement letter wanamuwekea amount sawa na inayoonekana kwenye payslip hii kitu haikubaliki popote ila kwa kuwa mmeaminishwa kuwa benki ni CRDB na NMB basi kaeni kwa kutulia dawa iwaingie vizuri.
 
CRDB now imekuwa ya ajabu mno ingawa naitumia.mkuu kwenye mikopo mwalimu commercial bank wapo vizur ingawa wanakukata kwanza then ndo wanakupa.ila kwenye top up wapo vizuri sana.mi nilipofanya top up,siku nilipopitisha kwa HR nikawatumia.baada ya saa 5 mzigo ukaingia ndani ya cku moja.yaani nilifurahi hadi nikasahau machungu ya kukatwa.
 
Wiki kadhaa zilizopita nilienda CRDB kuomba Mkopo binafsi.

CRDB wakasema lazima mshahara wangu upite kwao. Nikahamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB ndipo nikajaza form za mkopo na kuzirudisha CRDB Bank.

Nilivyorudisha tu fomu loan officer akaniambia sasa hivi mfumo unasumbua kidogo huenda ukawa tayari after two weeks. Mie nikadhani yule afisa anataka kitu kidogo na kwa vile hizo wiki mbili kwangu hazikuwa nyingi sikutaka kuanza kuwaza habari za kitu kidogo.

Lakini baada ya kuanza kupita pita katika mitandao hasa page za CRDB naona kuna msururu wa watu wanalalamika kuwa huenda CRDB imefulia maana kuna watu wamerejesha fom toka December mpaka leo hawajapewa mkopo. Na wengine wameanza kukatwa rejesho bila kupewa mkopo. Ukiwapigia Simu CRDB au ukiwaandikia wanakwambia tunafanyia kazi suala lako.

Hapa najiuliza ina maana kweli mfumo unasumbua,au ni benki imeyumba haina fungu la kutosha kukopesha au kuna kitu gani kimewakumba CRDB?
Hili tatizo lipo CRDB tangu mwaka Jana August, kuna baadhi ya matawi yalikuwa hayakopeshi kabisa, naona limeanza kwa kasi tena.

Walitoa pesa nyingi sana kwa kampeni za CCM
 
Tulikubaliana kuwa huduma za kibenki bila longolongo nenda ABSA BANK mkopo ndani ya masaa 24 kwa riba ya 15%,hakuna haja ya kuhamisha mshahara kwani pesa yako ya mkopo utaingiziwa kwenye account unayopitishia mshahara kwenye benki yako.
Hao CDRB wana liquidity issue ila hawataki kuwa wawazi and bad enough wateja wakienda kuchukua settlement letter wanamuwekea amount sawa na inayoonekana kwenye payslip hii kitu haikubaliki popote ila kwa kuwa mmeaminishwa kuwa benki ni CRDB na NMB basi kaeni kwa kutulia dawa iwaingie vizuri.
Hawa absa wananunua mikopo toka mabenki mengine?
 
Eti unaenda kukopa halafu utoe kitu kidogo kwa loan officer. Sifanyi huo ujinga hata siku moja. Biashara kuu ya benki ni kukopesha. Mkopaji ni mteja muhimu sana kwa benki. Tusiendekeze kutoa hata senti kwa loan officers, hiyo ni kazi yao walipwa mishahara na marupurupu
Mbuzi anakula urefu wa kamba yake, usifinye sana mkono. We unakopa milioni ishirini unaona tabu kumpa mtu laki mbili?

Ukiona ugumu ndo utaishia kuzungushwa hivi. Toa kitu upate kitu.
 
Back
Top Bottom