jovin malima bulemo
Member
- Sep 11, 2023
- 8
- 4
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira.
% kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu
Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo katiba yetu ktk awamu za kugombea raisi

- Kwakufanya hivi italeta chachu watu kubadili mtazamo wa kutafuta ajira na kupelekea vija nguvu kazi ya taifa tojikita ktk uzalishaji kibiashara.
- Kwa kufanya hivi automatically mashule na vyuo vinge badili mitaala ya kukariri na kujikita ktk elimu yenye tija kumsaidia kijana ktk maisha na taifa kuinuza zaidi KIUCHUMI,
- Tatizo la watanzania hatuna ubunifu katika mitazamo ya kuleta madiliko ya KIUCHUMI, tunangoja kuiga na kufanya kwa kuangalia taifa furan
- I wish late JOHN POMBE MAGUFULI angekuwepo hili wako na mtazamo alikuwa nao napenda Sana nchi yangu ikue KIUCHUMI na kubadili elimu za kutesa wanafuzi kusoma vitu visivyo na maana......🙏🙏🙏MUNGU IBARIKI TO TANZANIA.