Kwa hiyo mnafikiri hiyo tume itawafikisha wapi? Mind you tunadeal na multilateral investment. Unapojibu ujirejeshe kwenye kitu kinaitwa natural justiceWatu wanamsupport rais kwa movement yake ya kuzuia kuibiwa kwa kuunda tume ya wasomi impe ripoti sasa kama imemdanganya ana kosa gani?
Kwani mikataba ili wekwawazi bungeni mpaka useme wao ndio waliopaza sautiWanachoponda ni kurupuka hao watu Wana mikataba inayo walinda alichotakiwa wakae chini nao ili aombe wa review mikataba, na wakati mikataba inapita ni miongoni waliotika kwa sauti ya juu ndiyooooo
Watu wanamsupport rais kwa movement yake ya kuzuia kuibiwa kwa kuunda tume ya wasomi impe ripoti sasa kama imemdanganya ana kosa gani?
Bado hujajibu swali. Uongo ubovu au umbumbu wa tume kama unavyodai unamuingizaje rais kwenye makosa wakati si yeye aliyefanya utafiti?Eti wasomi...wasomi my foot. Hawa ndio wametutoa kwenye mjadala halisi...wa kwamba tunaibiwa au la. Wanakuja na orodha ya madini mengine kibao yasiyo na tija kibiashara. Hata wewe hapo ulipo hizo contents nyingine zilizotajwa ukichimba udongo wa kawaida utazikuta. Swali ni je kwa kiwango kilichomo waweza kupata manufaa yoyote kibiashara? Jibu ni hakuna. Wenzako wengine haya mambo tumekuwa nayo kila siku for the past 10 years. Maprofesa wenu wamejikita kwenye theory zaidi ya practicing. Wangekuwa wamewahi kupractice mining wasingeshindwa kujua hicho kiwango cha madini mengine hakitangazwi na Acacia kwa vile hakina manufaa kibiashara...ni content ndogo sana kuweza kubeba gharama za kukiextract na kupata faida. Buzwagi inafungwa kwa sababu mzigo unasoma chini ya 2g/tonne...vipi kuhusu hivyo vimadini vingine vilivyo chini ya hata 1g/tonne ukizingatia kuwa katika yote hayo gold ndiyo yenye thamani mara 100 zaidi. Jishughulishe kidogo...google ujue bei ya gold kisha ulinganishe na copper na silver kisha uangalie na bei ya chuma na rhodium alafu ndio ujue unachosimamia.
Elimu. Elimu. Elimu.
We jamaa I ask you to take a break,tena long break. Hapo mambumbumbu as u named,waliajiriwa na nani?kufanya hiyo kazi?Bado hujajibu swali. Uongo ubovu au umbumbu wa tume kama unavyodai unamuingizaje rais kwenye makosa wakati si yeye aliyefanya utafiti?
Eti wasomi...wasomi my foot. Hawa ndio wametutoa kwenye mjadala halisi...wa kwamba tunaibiwa au la. Wanakuja na orodha ya madini mengine kibao yasiyo na tija kibiashara. Hata wewe hapo ulipo hizo contents nyingine zilizotajwa ukichimba udongo wa kawaida utazikuta. Swali ni je kwa kiwango kilichomo waweza kupata manufaa yoyote kibiashara? Jibu ni hakuna. Wenzako wengine haya mambo tumekuwa nayo kila siku for the past 10 years. Maprofesa wenu wamejikita kwenye theory zaidi ya practicing. Wangekuwa wamewahi kupractice mining wasingeshindwa kujua hicho kiwango cha madini mengine hakitangazwi na Acacia kwa vile hakina manufaa kibiashara...ni content ndogo sana kuweza kubeba gharama za kukiextract na kupata faida. Buzwagi inafungwa kwa sababu mzigo unasoma chini ya 2g/tonne...vipi kuhusu hivyo vimadini vingine vilivyo chini ya hata 1g/tonne ukizingatia kuwa katika yote hayo gold ndiyo yenye thamani mara 100 zaidi. Jishughulishe kidogo...google ujue bei ya gold kisha ulinganishe na copper na silver kisha uangalie na bei ya chuma na rhodium alafu ndio ujue unachosimamia.
Elimu. Elimu. Elimu.
Hawezi kukuelewa,nmepitia baadhi ya comment zake nmetambua uwezo wake wa kufikiriKwa hiyo mnafikiri hiyo tume itawafikisha wapi? Mind you tunadeal na multilateral investment. Unapojibu ujirejeshe kwenye kitu kinaitwa natural justice
Wewe ndiye unaedai ni mbumbumbu kwa ripoti yao ya uwongo isiyo na weledi n.k bado narudi kwenye swali rais kawaamini kutokana na elimu na uzoefu wao kwenye madini kama wameleta ripoti mbovu rais anakuwa na kosa gani?We jamaa I ask you to take a break,tena long break. Hapo mambumbumbu as u named,waliajiriwa na nani?kufanya hiyo kazi?
Think twice buana,mbona ni jambo dogo sana kung'amua hili
Kosa lake ni kutochunguza alichopewa. Kwanini asingeita wataalamu Hata kutoka nje akakagua alichoambiwa.?Wewe ndiye unaedai ni mbumbumbu kwa ripoti yao ya uwongo isiyo na weledi n.k bado narudi kwenye swali rais kawaamini kutokana na elimu na uzoefu wao kwenye madini kama wameleta ripoti mbovu rais anakuwa na kosa gani?
Kwanini ahoji kitu ambacho hana utaalam nacho? Je hao wataalam wa nje hawawezi kuwa waongo kama Hawa?Kosa lake ni kutochunguza alichopewa. Kwanini asingeita wataalamu Hata kutoka nje akakagua alichoambiwa.?
Ana ajili watu kwanini sheria kwenye madini inasemaje?
Yeye alishindwa kupitia laws and by laws kwenye sector ya madini inasemaje???
Kumbe ushajua kitu hana utaalamu nacho??? Kwanini asishirikishe taasisi mbalimbali ajue wapi penye ukweli??Kwanini ahoji kitu ambacho hana utaalam nacho? Je hao wataalam wa nje hawawezi kuwa waongo kama Hawa?
Elimu ya Magharibi ndio elimu gani na wewe mbona hamuishiwi pumba nyie vijana wa Town Street. Si muifute basi turudi kule kwenye elimu ya kufundisha watu wetu kuwinda wanyama, kusaga nafaka kwa mawe na kuwasha moto kwa vijiti.Elimu ya magharibi ilikuja kukidhi mahitaji ya walioileta mkuu. Ni bahati tu pale inapoonekana kutusaidia hata sie lakini lengo lake 90% ilikuwa ni kutuenslave, hivyo usishangae matunda haya kuchepua kwani mti tayari ulishatiwa mbolea.
Kumbe ushajua kitu hana utaalamu nacho??? Kwanini asishirikishe taasisi mbalimbali ajue wapi penye ukweli??
A na B yote Sawa,lakini ushajua kuwa yeye hana utaalamu nayo. Na Hapo watu wanaofahamu wameainisha kaongopewa,mumeongopewa mnaoamini hayo.
Unaonaje kama hili swali ungeielekeza kwa viongozi walioko madarakani. Je unajua maumivu waliyopitia waliohoji uhalali wa hiyo mikataba ya wizi? Kwa ufahamisho wote ambao wanaunga mkono ukurupukaji wa Rais wetu ndio hao hao walikuwa mstari wa mbele wakiitetea mikataba ya kinyonyaji kama hiyo ya madini.Walikuwa wapi siku zote wakati tunaibiwa?
Of course hana utaalam nacho ndio maana ameunda timu ya wataalam hawezi kupinga ripoti yao bila kuwa na ripoti mbadala so hana budi kuifanyia kazi huku akiendelea kushirikiana na wasaidizi wake wengine. Anasubiri ripoti nyingine ya kisheria ili apate mustakabali endelevu nakushauri kuwa na subira rather than condemning him without no solid proof. Let's pray for him and the country itself.
Ndio maana nimekwambia be patient hata hii bado inafanyiwa kazi. Yeye kuwepo au kushiriki kwenye makosa hakumnyimi nafasi ya kujirekebisha.Ripoti ya kisheria itakumbana kutokana na mikataba ambayo ilipopitishwa Hata yeye ilikuwepo bungeni.
Ripoti ya kwanza Ndio tunayoiongelea,utaongeleaje kitu ambacho hakijatoka bado???
Kikitoka tutahamia huko,hii Hapa iliyopo kwanza.
Waliyojikanyaga
Ndio tunawaambia,muwe mnasikilizaga akili za viongozi wa upinzani.Ndio maana nimekwambia be patient hata hii bado inafanyiwa kazi. Yeye kuwepo au kushiriki kwenye makosa hakumnyimi nafasi ya kujirekebisha.
Sasa anasikiliza support himNdio tunawaambia,muwe mnasikilizaga akili za viongozi wa upinzani.
Sio kila wanalolishauri serekali ni mbaya,it's for the sake of waTz,sisi ambao hatuna nguvuvya kuongea. Tunasemelewa na Hao hao mnaowaona wapuuzi,end of the day mnayala matapishi yenu.
BAK nakuona BAK...